Mazava chawapa likizo ya kibabe ya miezi 3 isiyo na malipo wafanyakazi wake

Mazava chawapa likizo ya kibabe ya miezi 3 isiyo na malipo wafanyakazi wake

Mungu naomba atusaidie.Utuondolee hii kitu baba ,tumetubu na uturehemu sawasawa na fadhili zako.Kiasi cha wingi wa rehema zako utusamehe makosa yetu.Zab51.Amen
AMEN.
 
Poleni sana wafanyakazi wa Mazava.
Nashauri serikali ifanye kitu kuwanusuru wafanyakazi wa sekta
binafsi,hii si dalili njema kiuchumi.
 
Tatizo ni nini? Kama kimefungwa kwa sababu ya Colona mbona serikali imeruhusu shughuli za kiuchumi ziendelee.
 
Back
Top Bottom