Jezi zao hazivaliwi africahawa ndio wanatengeneza Jezi za Simba na Yanga
hicho kiwanda ni wanawake tupu aiseeWafanyakazi wa kiwanda cha kuzalisha Nguo cha Winds Group ltd maarufu kama Mazava kilichopo Msamvu, kinadaiwa kuwapa likizo ya miezi 3 wafanyakazi wake bila malipo
Wafanyakazi wamezuiwa kuingia kiwandani kuendelea na shughuli humo leo Mei, 15
View attachment 1450641
View attachment 1450642
Wanasema makundi makubwa sana ya Nzige kutoka Kenya yanaelekea Tanzania yetu sio swarms tena bali ni plague wamezaana Kenya na Somalia na EthiopiaMungu naomba atusaidie.Utuondolee hii kitu baba ,tumetubu na uturehemu sawasawa na fadhili zako.Kiasi cha wingi wa rehema zako utusamehe makosa yetu.Zab51.Amen
mungu wangu, hichi kiwanda kinaokoa wadada wengi wa morogoro mjini......
ss watu wa moro wategemee mengi mtaani
Sent using Jamii Forums mobile app
Wafanyakazi zaidi ya 1,000 wa kiwanda cha kushona Jezi cha Mazava mkoani Morogoro, wamezuiliwa kuingia kiwandani hapo baada ya kiwanda hicho kutangaza kusimamisha shughuli za uzalishaji kwa kipindi cha miezi mitatu, na kudai kuwa walikubaliana kifungwe Mei 24.
Source: EastAfrica Radio
Mytake - fursa kwa ni bora washone Barakoa kuliko kufunga kiwanda
Hao ni wafanyakazi wengi sana hata kama wengine ni vibarua