Mazava chawapa likizo ya kibabe ya miezi 3 isiyo na malipo wafanyakazi wake

Mungu naomba atusaidie.Utuondolee hii kitu baba ,tumetubu na uturehemu sawasawa na fadhili zako.Kiasi cha wingi wa rehema zako utusamehe makosa yetu.Zab51.Amen
AMEN.
 
Poleni sana wafanyakazi wa Mazava.
Nashauri serikali ifanye kitu kuwanusuru wafanyakazi wa sekta
binafsi,hii si dalili njema kiuchumi.
 
Hata kama ni mtumishi wa umma lazima uwe na plan B ili kuwa salama zaidi.
 
Tatizo ni nini? Kama kimefungwa kwa sababu ya Colona mbona serikali imeruhusu shughuli za kiuchumi ziendelee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…