Mazayuni walivyouliwa kwa wingi sasa wanachukuwa askari wa Kukodi kutokea Malawi

Mazayuni walivyouliwa kwa wingi sasa wanachukuwa askari wa Kukodi kutokea Malawi

fursa hizo wenzetu mataifa mengine yanachangamkia. huku ukichanganya lugha kuwa kikwazo, ccm, undez wa ujamaa, ufalamba wa wanyonge na ukiritimba wa serekare basi unapata workdone is ekwo to zero
 
Baseless allegations!
Hizo ni chuki za Waislam dhidi ya Wayahudi!
 
mm fursa naluka nayo iwe israel iwe afghanistan popote kamanda nakwenda.
 
Nenda na wewe unangoja nini, sasa hivi huko kazi kibao.
Acha kujidharirisha bibi wewe ulichoandika sicho hiyo inaongelea labda kama unayo nyingine,kwanza hakuna mtu ataweka siri za kijeshi wazi hivyo labda iwe ni sehemu ya mbinu ya kivita.
 
Mapya haya sasa, Mazayunni wameanza kuchukuwa askari wa kukodiwa Malawi, wanajuwa dhiki zetu Afrika na pesa wanayotowa zitatufanya twebde tu, Dah, hali inatisha:

Video clip inapanda taratibu.
View attachment 2826830
View attachment 2826807
Kuchukuwa [emoji3582]
Kuchukua[emoji3581]

Wanajuwa [emoji3582]
Wanajua [emoji3581]

Wanayotowa [emoji3582]
Wanayotoa [emoji3581]

Twebde [emoji3582]
Twende [emoji3581]

Kumbe nawe ulikwenda shule kusomea ujinga?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kupigana na hamas huwezi, wale wanamtegemea Mwenyezi Mungu, so wana imani haswaa

Palestine 🇵🇸 will be free in shaa Allah
Sisem mambo ya kupigana nasema mambo ya kibarua. npo tayar popote kwenda kupga kibarua iwe west bank iwe israel au somalia
 
Na wewe nenda kajifundze dini ujiunge na magaidi wa kiislam, nasikia na maajuza ajuza umeahidiwa wanaume mabikra 72
 
Faiza, Mazayuni na Islam wote ni dugu moja, wote ni wapinga Kristo. Mnajuana.
Huwezi kuwa Muislam kama unampinga Yesu.

Unaonesha huufahamu Uislam.

Kwa kukujuza t7 mama'ke Yesu katajwa kwenye Qur'an kuwa ni mwanamke bora katika wanawake wa ulimwengu, hata biblia haijampa sifa hiyo.

Unalielewa hilo?
 
Back
Top Bottom