fredo fred
JF-Expert Member
- Oct 17, 2015
- 748
- 1,615
😅😅Nishaelewa tunapopishana bro. Ni misunderstanding. Kila mtu yupo sahihi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😅😅Nishaelewa tunapopishana bro. Ni misunderstanding. Kila mtu yupo sahihi
We unaongelea Mazda Demio, mi nikawa na refer Mazda 2.Hapana wewe second gen unasema ndo unasema first
That's Maserati Quattroporte, $150,000 bila ushuru.
Hafu bodaboda anakukwangua, anakimbia.Ukiplus na Ushuru hapo ni quarter Mil.
Mkuu samahani naomba elimu hapo juu ya mazda ya diesel kwanini unatakiwa kuwa mtu wa trip?Hapa Mazda walituliza kichwa. Tatizo kupata Petrol ndio issue, ila Diesel sio mbaya, kama ni mtu wa kutoka atleast kwa mwezi mara 2 uende long trip.
Natumia Mazda 6, zinashare engine SkyActive ni nzuri sana sana saaaaaaana.
Hiyo aliyoweka mtoa mada ni 1st generation iliisha mwaka 2016. Ukiwa na tight budget pambania ya mwaka 2016 na 2015 zilifanyiwa facelift moja tamu ndani nje na engine.
Kabla ya Facelift:
View attachment 2767536View attachment 2767537
Baada ya Facelift:
View attachment 2767538View attachment 2767539
View attachment 2767543
Ukiwa fresh zaidi chukua 2nd generation kuanzia ya 2017 nilikutana nayo moja mitaa ya Jangwani pale. Aisee. Kali sana.
2nd gen:
View attachment 2767540View attachment 2767541
Hii ni kwa magari yote ya diesel mkuu, sio tu Mazda.Mkuu samahani naomba elimu hapo juu ya mazda ya diesel kwanini unatakiwa kuwa mtu wa trip?
Shukrani sana nimefahamu.Hii ni kwa magari yote ya diesel mkuu, sio tu Mazda.
Kila baada ya muda flani, mfumo wa kutoa moshi tuseme unatabia ya kujenga kutu (carbon) sasa iyo carbon ili itoke inataka gari lifikie joto flani ndio iingie katika stage inaitwa regeneration ndio inatoa iyo kutu.
Kuna kitu kinaitwa EGR na DPF ndio vinavyohusika kutoa iyo kitu.
DPF ni kama chujio hivi lipo kwa chini kwenye exhaust pipe, unaweza kulitoa kisha uka program gari inakua inafanya kazi kama Petrol tu ila niliongea na mafundi wakasema 850k nikasema no way.
So kila baada ya wiki moja la kuendesha gari vitrip vifup vifup ninachofanya natafuta trip ndefu moja ili gari ifanye regen.
Kwa Dar kama hauna trip unajiendea Bagamoyo au Usiku hii njia ya Kimara Mwisho to Kibaha ni nzuri.
Gari linachotaka ni kuendeshwa kama kwa 30 minutes nonstop kwa speed ya 50kph kwenda juu.
Sema sijaeleza vizuri ila unaweza tafuta kusoma Google: Diesel car DPF au Mazda DPF
Interior tamu kinoma, huchoki safari, vipi kikokotoo cha TRA kinaonesha ngapi kodi yake?Demio aka Mazda 2. Unayosema wewe ni 3rd generation. Unyama sana. Kana engine ndogo sana 1.5L kuna option ya diesel pia.
View attachment 2768693View attachment 2768694
View attachment 2768695
Kana unyama wake sana.
Tafuta na Axela aka Mazda 3 nako ka HB moja katamu sana. Nimekaendesha Dar to Mwanza ka diesel. Aisee. Very sport.
Nitaanza na sienta😂Unaanza kidogokidogo kaka .
Unanunua gari ndogo,unajichanga unaenda tena unanunua kubwa kidogo.
Badae unanunua gari ya ndoto yako.
Wengine tunanunua gari yoyote kuokoamuda na kuepuka msongamano wa kwenye basi na daladala
Hapo TRA ndio jau ya 2015 wanasema 7-8 m.Interior tamu kinoma, huchoki safari, vipi kikokotoo cha TRA kinaonesha ngapi kodi yake?
Mkuu kama hutojali naomba ufafanuzi zaidi kwenye hiyo sentensi
Meli iliyoleta chombo yangu ilitoka Japan ikaenda India na Singapore, kisha Durban, Maputo, Dar, ikaendelea mbele. Ilikuwa June 2023.Toka kitambo meli zote za magari zinapitia bandari ya Mombasa alafu inakuja DAR na ikishafika DAR inaenda Durban
Very true !! Tunahangaika na maisha hadi tunashindwa kuishi maisha yenyewe,Maisha haya tafuta lakini usisahau kukata “KIU YAKO”
Kama unapenda kusafiri safiri
Kama unapenda gari yoyote nunua
Hela utaziacha
hii ni nzuri zaidi ya IST kimuonekano1st gen hatari sana.
View attachment 2768751
matumizi ya mafuta vp?Demio aka Mazda 2. Unayosema wewe ni 3rd generation. Unyama sana. Kana engine ndogo sana 1.5L kuna option ya diesel pia.
View attachment 2768693View attachment 2768694
View attachment 2768695
Kana unyama wake sana.
Tafuta na Axela aka Mazda 3 nako ka HB moja katamu sana. Nimekaendesha Dar to Mwanza ka diesel. Aisee. Very sport.