Mazda kwanini hazipendwi Tanzania ilhali bei yake ipo chini?

Ila gari likiwa kubwa na cc hizo 1700 zinakua undepowered hatari.
 
Befoward wanauza magari ya daraja la chini kabisa ndio mana yamakua rahisi hebu check kwa wauzaji wengine uone bei ya hio gari.

The good, the bad and the ugly.
'Ya daraja la chini kabisa na ndio maana yanauzwa bei ya chini kabisa',hio sentensi unamaanisha nini boss?
Be forward nilikuta mazda rx-7 swapped with 1jz-gte CIF yake ni $13,000 na gari hio hio nikaikuta Kule Trade car view CIF ni $17,400 na nikaikuta tena kwny Co. Nyingine ya japan inauzwa $18,100,hapo maana yake nini?

Na gari ni hio hio 1 maana VIN ni hio hio.
 
Akikujibu utani-tag aisee
 
Bei za makampuni haitofautiani sana autocom,autorec ,sbt ,enhance,trust,beforwad, trade car view bei zao za magari almost ni the same ila kinachotofautisha huwa ni km na mwaka wa gari
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Ili gari hapana aise nikilitizama kwa nyuma najikuta nipo Moshi.
 
Bei za makampuni haitofautiani sana autocom,autorec ,sbt ,enhance,trust,beforwad, trade car view bei zao za magari almost ni the same ila kinachotofautisha huwa ni km na mwaka wa gari
Unajua maana ya VIN boss?
 
Tena naona beforward kama wanajitahidi sana....wana magari mazuri kwa bei poa sana...na hata kama kuna tatizo wanaliweka wazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…