mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
Ila gari likiwa kubwa na cc hizo 1700 zinakua undepowered hatari.Ile kasumba ya kuaminishwa Toyota ndiyo kila kitu inaanza kupotea ndiyo maana sikuhizi utaona Magari tofauti mengi tu.
TATIZO la brand nyingine tofaut na Toyota ni pale utapoamuwa kuuza utapata usumbufu Sana mpaka uliuze Hilo gari.
Kuna brand ya honda crossroad yameanza kuingia Kwa fujo Tanzania ni bonge moja la gari alafu CC za haya Magari ni ndogo Tu yaani Cc 1790 na 1990 View attachment 1419207View attachment 1419206