Ukweli ni kwamba tunaponda tu sababu tumeamua kubisha,mimi ni mmoja wa watu wanao-advocate saana suala la watu ku-deviate from Toyota na kununua brands nyingine nyingine ili kupata utamu tofauti tofauti lkn there is no way mtu ata-downplay reliability ya Toyota,NEVER.NAshangaa wabongo wanavoziponda.
Kabisa mkuu,na mtu akinunua Toyota mostly ameamua ku-sacrifice hizo mambo za power/confortability kwa ajili ya reliability.Ni kwa sababu ya reliability. Europeans cars ni nzuri sana hasa kwenye comfort, power and speed. Shida inakuja kwenye uimara na hapo ndio mjapan anapompiga gape.
Na siku hizi mjapan anajitahidi kubalance vyote. Power, comfort na reliability. Na pia ana Luxury brand kama Lexus kwa upande wa Toyota, Acura upande wa Honda na pia Infiniti upande wa Nissan.Kabisa mkuu,na mtu akinunua Toyota mostly ameamua ku-sacrifice hizo mambo za power/confortability kwa ajili ya reliability.
kwa matumiz yangu haita nifaaa nitaiaribu tu
Sure mkuu lexus/acura/infiniti wanapambana hatari,LS460 kwangu imekaa mkao.Na siku hizi mjapan anajitahidi kubalance vyote. Power, comfort na reliability. Na pia ana Luxury brand kama Lexus kwa upande wa Toyota, Acura upande wa Honda na pia Infiniti upande wa Nissan.
Hizi brand zimeshika kasi sana North America
Ngoma ngumu hii gari si mchezoHahah yako ile TI sio ile ninayoimaanisha hapa mkuu.Hio hapo chini ni ile model ya zamani 1997 mkuu.
Yako nadhani ni ile ina ina sura nzuri(1988-2001) mkuu.View attachment 1430221
Ingia be forward sasa hivi,Bmw 7 series ya 2009(full leather;sunroof) CIF yake ni $2300 wkt huo hapo hapo Be forward Toyota Carina ya 1997 inauzwa hio hio $2,300 ikiwa na Km 145,000?
Unadhani ni kwanini Gari iliyokua ni flagship ya bmw tena model ya 2009 ilingane bei na gari 1 baya baya hivi la huko Toyota tena la mwaka 1997?
Ni kwa sababu ya reliability. Europeans cars ni nzuri sana hasa kwenye comfort, power and speed. Shida inakuja kwenye uimara na hapo ndio mjapan anapompiga gape.
Hizo takataka ndio zinazoongoza kwa mauzo duniani.
Ushuru wake unahusiana vipi na resell value yake?
Hahah daah we jamaa umenichekesha kinyama.Nadhani anafikiri watu wakipanga bei huko Japan na Ulaya wanaangalia kwanza kodi za Tanzania zinasemaje [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sababu gari za toyota ni reliable. Izo za miaka ya 90 ni reliable kuliko BMW/Merc za miaka ya karibuni.
Zina low cost of maintainance. Izo brand kama BMW na MERC, AUDI na wenzao, gari zao zina depreciate kwa haraka sana. Unaweza kupata 2002 BMW 7 series kwa $1500 (bei ya gari tu) ambayo ni flagship model yenye features ambazo Markx, Camry na Crown haziingii ndani, unajua kwanini? Kwa sababu sio reliable, zinaharibika mara moja, service cost ni ghali, spare zake ni ghali ila ukija kwa toyota ni story nyengine.
Bei za magari mengine ndio sio reasonable, ila toyota, kwa kitu ambacho unadumu nacho miaka 20-30 zipo reasonable.
Mkuu hata kwenye page za biashara ya magari za kibongo fb na instagram,naona audi,volkwagen zinauzwa bei sawa na i.s.t!Ingia be forward sasa hivi,Bmw 7 series ya 2009(full leather;sunroof) CIF yake ni $2300 wkt huo hapo hapo Be forward Toyota Carina ya 1997 inauzwa hio hio $2,300 ikiwa na Km 145,000?
Unadhani ni kwanini Gari iliyokua ni flagship ya bmw tena model ya 2009 ilingane bei na gari 1 baya baya hivi la huko Toyota tena la mwaka 1997?
Benz,Mercedes,Audi ni reliable kulinganisha na magari gani boss?Mjomba wacha utani Benz sio reliable? BMW sio reliable? Audi sio reliable? Tatizo bongo hakuna mafundi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Benz,Mercedes,Audi ni reliable kulinganisha na magari gani boss?
Nilishakua na bmw 3 series 325ci 2005,nilijionea ninachokisema.Nina Mercedes compressor toka 2006 mpaka leo inanisaidia sana kwa safari za hapa bongo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa gari tunanunua ili tuendeshe ama tunanunua ili tushindane kwenda gereji mkuu? Kwa logic tu gari nzuri ni lipi kati ya hizi:Mjomba wacha utani Benz sio reliable? BMW sio reliable? Audi sio reliable? Tatizo bongo hakuna mafundi.
Sent using Jamii Forums mobile app