Benz sio reliable, BMW sio relioable, Audi sio reliable. Hata mafundi wakiwepo. Hivi ushawahi kujiuliza kwanini brand tajwa hapo zina depreciate kwa haraka?Mjomba wacha utani Benz sio reliable? BMW sio reliable? Audi sio reliable? Tatizo bongo hakuna mafundi.
Sent using Jamii Forums mobile app