kikiboxer
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 3,668
- 9,809
Gharama zake shilingi ngapi mkuu?Ndio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gharama zake shilingi ngapi mkuu?Ndio
Form tsh: 10000/:Gharama zake shilingi ngapi mkuu?
Hata mawe unaweza kutumia nzuri sana hii.Krav maga origin yake ni Urusi. Idea ya krav maga ni kwamba unayepambana naye ana silaha so unatakiwa kushambulia kwa haraka kisha unakimbia.
Kung'ata, kufinya, kutumia mawe vyote sawa
Ndio hawahawa wakujifunza uchochoroni tu. Nayeye anatafuta wake [emoji23][emoji23][emoji23]Naomba nikusaidie 'Masta'kama mnavyopenda kujiita..kwa majibu haya unaendelea kujiumbua kwa sisi tunafahamu..Karate au Martial Arts sio kujua kurusha mateke tu..ni filisofia au dini yenye misingi ya kutokuwa mshari na kujisifia na mambo mengine mengi.
Karate ni busara na unyenyekevu, kama mlipukaji hivyo hizi sifa za kufundisha wengine sijui unazitoa wapi? tena una brand yako kabisa ..shida sana na matapeli wa taaluma za watu hawataisha Tanzania.
Mimi na tengeneza Njia yangu, ili wengine wapite salama, alafu wewe unatia viziwizi ili watu wasipite . Nahapa unataka niwe mnyenyekevu tu . Hapana unyenyekevu haupo ivyo. Inapo bidi nilazima nisafishe Njia ili Njia yangu iaminike na watu wapite salama,bila ya hofu Wala kiziwizi chochote kile.Naomba nikusaidie 'Masta'kama mnavyopenda kujiita..kwa majibu haya unaendelea kujiumbua kwa sisi tunafahamu..Karate au Martial Arts sio kujua kurusha mateke tu..ni filisofia au dini yenye misingi ya kutokuwa mshari na kujisifia na mambo mengine mengi.
Karate ni busara na unyenyekevu, kama mlipukaji hivyo hizi sifa za kufundisha wengine sijui unazitoa wapi? tena una brand yako kabisa ..shida sana na matapeli wa taaluma za watu hawataisha Tanzania.
Alafu mimi sipendi kuitwa master, ila kama unaona Mimi nimejifunzaMimi na tengeneza Njia yangu, ili wengine wapite salama, alafu wewe unatia viziwizi ili watu wasipite . Nahapa unataka niwe mnyenyekevu tu . Hapana unyenyekevu haupo ivyo. Inapo bidi nilazima nisafishe Njia ili Njia yangu iaminike na watu wapite salama,bila ya hofu Wala kiziwizi chochote kile.
0717927312 - karibu Sana.Upo wapi tujitose?
Mh,,sijui kama upo uo mchezo wa kuzidi michezo yote,minilishaona mcheza kung fu kakaa kwa kick boxing na pia kick boxing kakaa kwa kung fu.Mi naomba kuuliza, kuna Kara te, Kung fu, Boxing, Tai chi n.k sijui kama IP MAN nayo imo..... ila swalli langu katika Michezo hii yote ni mchezo upi ambao Mtu akijifunza basi huyo atakua kashindikana, yaani ukienda na Kung fu atakuchapa, ukienda na Boxing yake utachezea n.k???
Hakuna Sanaa Ya mapigano Bora kuliko nyingine, ila itategemea na uwezo wa msanii mwenyewe.Mi naomba kuuliza, kuna Kara te, Kung fu, Boxing, Tai chi n.k sijui kama IP MAN nayo imo..... ila swalli langu katika Michezo hii yote ni mchezo upi ambao Mtu akijifunza basi huyo atakua kashindikana, yaani ukienda na Kung fu atakuchapa, ukienda na Boxing yake utachezea n.k???
Alafu IP man, si style Bali ni jina la mwalimu wa Bruce Lee, huyu Mzee yeye alikuwa anafundisha wing Chun style.Hakuna Sanaa Ya mapigano Bora kuliko nyingine, ila itategemea na uwezo wa msanii mwenyewe.
Nitakucheki siku nikipata muda,, ossAlafu IP man, si style Bali ni jina la mwalimu wa Bruce Lee, huyu Mzee yeye alikuwa anafundisha wing Chun style.
Naomba Mrejesho kama mshapiga comittKaribu Sana ,0717927312.
Sijaona mtu yeyote aliokuja, Wala kupiga sim. Mrejesho ndio huo. Asante Sana.Naomba Mrejesho kama mshapiga comitt
Hauna u master wowote weweMimi na tengeneza Njia yangu, ili wengine wapite salama, alafu wewe unatia viziwizi ili watu wasipite . Nahapa unataka niwe mnyenyekevu tu . Hapana unyenyekevu haupo ivyo. Inapo bidi nilazima nisafishe Njia ili Njia yangu iaminike na watu wapite salama,bila ya hofu Wala kiziwizi chochote kile.
Njoo Airwing hapa tupigane jeshini mbwa weweAlafu mimi sipendi kuitwa master, ila kama unaona Mimi nimejifunza
Vichochoroni sawa, wewe uliojifunza kwenye vyuo vikubwa . Njoo chuoni kwangu uyakinishe unayoyasema .Mimi nipo tayari kupigana na mtu yoyote yule ambae anajifanya yeye anajua kuliko wengine. Na mwenye maneno ya kejeli . Watu wa aina yenu mpo wengi
Sana ila dawa yenu nikuwanyoosha tu ndio mtaamini kuwa Tanzania Kuna watu wanauwezo. Hi
Tupo kisheria, vibali vyote tunavyo. Naserikali inafahamu uwepo wetu nchini .kazi yetu nikufundisha self defense , illa kwa wasiotuamini, pia tunawaonesha uwezo wetu kwa kupigana nao.