Mazingaombwe (Jugglery) ni Sayansi au Uchawi?

TANESCO MNAHARIBU BIASHARA KUMANINA ZENU KODI ZETU ZINATUMIKA KUFULIA UMEME ULIYEZIMA SWICHI HAPO UBUNGO EM WASHA UMEME SABABAU UNAJUA NI WAPI ULIPOZIMA UMEME HAYA FANYA HARAKA SABABU NAKUJUA NITAKUSHIKISHA UKUTA LEO
 
hii thread nimeisoma mwanzo mpaka mwisho nacomment hapa,
kuna watu jf ni story teller na hadithi za kujua kwingi kumbe hamna kitu mfano nicholax alianza kunishawishi huenda ningejifunza kitu kuhusu mazingaombwe yanayoonekana ni complex kama ya dynamo.

mwisho wa siku hata mfano wa magic trick moja aliyosisitizwa aelekeze akazuga kama haoni comment akalala mbele ,

mara mbeleni akaja rakims ,nicholax akavuta pumzi akijua rakims ataokoa jahazi so akawa anamkomalia rakims atoe mfano na uelekezaji wa magical tricks
hahahaaah mmeni discourage mno kama mtu hujui ni mara mia uchangie kikawaida kuliko kuwatoa imani watu walianza kuwaamini

btw mimi naamini kuna tricks(mbinu za kawaida) kwenye mazingaombae na pia kuna mazingaombwe yanayotumia uchawi
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
hahaaaaaaaaaaa
 
Hahahahaha...! Hiyo ndo S/Wanga.
 
We mtu umenifanya nijikague..
 
dah umenikumbusha mbali sana mkuu. enzi hizo primary. shilingi kumi ya noti, shilingi ishirini ya noti blue, hamsini noti nyekundu.

jamaa wanageuza karatasi kuwa pesa. wanadai mazingaombwe ni ujanja na wepesi.
 
Mazingaombwe yapo katika aina mbili

1. Ujanja ujanja (tricks).
Hapo mwonyeshaji anatumia ujanja kuficha kitu na kukionyesha au kufanya jambo bila watu kugundua amelifanya kwa namna gani.

2. Uchawi (wichcraft)
Hapo mwonyeshaji anatumia mbinu za ki ufundi za kichawi kufanya jambo bila watazamaji kujua amelifanyeje

Mfano. Kuna mwaka mmoja nimeusahau, kwenye viwanja vya maonyesho ya sabasaba Kilwa road,
Kuna mwonyeshaji alikata kichwa cha mtu akaweka kwenye sinia na kilikuwa kunajibu maswali ya watu kwa lugha ya kifaransa, kiingereza, kiswahili na kiarabu, kwa kulipia.
Yaani unalipa pesa na unajibiwa maswali yako.
Kichwa kilikuwa kwenye sinia lililowekwa juu ya meza, ukichungulia chini hakuna kiwiliwili,
Uchawi huo
 
Mazingaombwe yana-base partly kwenye Principlas za Spritual Science na pia za Emperical Science ila Sayansi tunayosoma shuleni ni Emperical Science pure, hivyo hivi vyote viwili ni Sayansi! For example God is all knowing, He is Omni-SCIENT. Sceince is just something to do with possession/search of knowledge/new and advanced knowledge and so in principal, anything that has to do with the ultimate search and discovery of new knowledge is Science and that is why we have several disciplines in science such as Political Science, Social sciences, etc etc
 
[emoji1] [emoji23]
 
Mchezo wa mazingaombwe una miujiza ya wazi,na huenda Muumba huwatumia watu hawa kuonyesha miujiza,nakataa mazingaombwe si uchawi.

Kinachotakiwa ni kuwadadisi kwa kina wanaofanya mazingaombwe hutumia dawa zipi? ili watafiti wazifanyie utafiti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…