mi nakumbuka tulikua na rafiki yetu mmoja home yeye alikua anajua haya mambo, alikua anatuambia ila tulilkua hatumuamini, basi siku 1 akatuweka duara, halafu akachukua makaratasi na kuyachana madodo madogo akampa kila mmoja wete atafune, ameze halafu anywe na maji gilasi moja moja, tukafanya km alivotuagiza. Basi akasema maneneo yake ya puche na seto, baada ya muda alitoa sindano za kushonea mdomoni mwake kibaoo zaidi ya mia tena mpya mpya.
Akatupa na tulizitumia mpk. Siku nyengine alichukua ya wifi yangu akaitia ndani ya mkoba wa karatasi akampa afungue kufungua akatoka jongoo.
Wana uchawi wanafanya