Mazingaombwe (Jugglery) ni Sayansi au Uchawi?

Mazingaombwe (Jugglery) ni Sayansi au Uchawi?

Dah!umenikumbusha mbali sana,miaka ile ya tisini akija mtu wa mazingaombwe masomo yanasimama mnaingia kwa kulipa kiingilio kuanzia sh moja mpaka sh.tano.
Na walimu kabisa wanakatisha masomo kwamba leo saa nne mwisho...asb mstarini tunapigwa trela kwamba picha yenyewe baadae
 
Wengi wamechoka au wamekufa isitoshe michezo yenyewe imepoteza mvuto. Walikuwa wengi kina power sangandele,power Bernad,Tx chaka.
 
Power mabura, power mwanza, sumu ya mamba kalikuwa kafupi,kana rasta kabishi,kalisha tangulia mbele ya haki. super mama amazon mwanamke baraa aliolewa na power mwanza, power msoma, power mwangw'ana alikuwa mchungaji akawagegeda waumini BIHARAMLO,
 
Teh, teh, teh! Umenikumbusha mbali sana. Kulikuwa na mwana mazingaombwe maarufu sana kule Lindi alikuwa anaitwa Jeki Magongo!

naimagn hiyo JEKI MAGONGO alivyokuwa anaitaja maana walikuwa wana mbwe mbwe fulani hivi za kujitaja majina yao
 
POWER MANGW'ANA kwa kujifanya anawaombea usiku baadaya mahubiri alifikia SUNSET BAR kwakweli aliwafaidi. alipotokahapo tukaanza kumsikia RFA
 
jamani vizazzi vao si ndio hawa mabaunsa tunaowatuma tuma siku hizi kutulinda?
 
Dah!umenikumbusha mbali sana,miaka ile ya tisini akija mtu wa mazingaombwe masomo yanasimama mnaingia kwa kulipa kiingilio kuanzia sh moja mpaka sh.tano.
Inabidi humu ndani tuanze kuamkiana humu hata kama hatuonani, yaani miaka ya Tisini bado mlikuwa praimari tu?
 
Angalia trick zao kwenye Channel e ya startimes kipindi kinaitwa breaking the magician's code kila jumamosi saa 1usiku.
 
Angalia trick zao kwenye Channel e ya startimes kipindi kinaitwa breaking the magician's code kila jumamosi saa 1usiku.

Dah hizo trick zitakua babkubwa nakumbuka kuna jamaa aliwekwa kwenye sanduku likakatwa katikati miguu ikatenganishwa na kichwa baadae ikaunganisha yaani mpaka leo nashindwa elewa,nyingine jamaa aliweka sufuria kichwani kichwa kikawa kama jiko mchanga ukajazwa kwenye sufuria ilitoka bonge ya pilao ya moto hiyo tulijichana kwelikweli.
 
Enzi zile nasoma shule ya msingi kulikuwa na vijana waliokuwa wakija shule kwa ajili ya mazingombwe. Walikuwa wakifika shuleni mara kwa mara kwa ajili ya maonyesho hayo.

Walikuwa wakipewa kibali na mwl mkuu/mwl wa michezo pamoja na kupewa darasa la kufanyia mazingambwe yao kama ukumbi. Pia kulikuwa kiingilio ili kuweza kuingia ukumbini (darasani) kwa ajili ya kuangalia mazingaombwe hayo.

Ndani ya ukumbi, wanaofanyia mazingaombwe walikuwa wakifanya vituko mbalimbali ambavyo baada ya kuvikumbuka nikaamua kuleta uzi huu kwenye hili jamvi la chitchat ili tukumbushane. Nakumbuka:

  • Kuna siku walimuita mvulana mmoja wakampasua tumbo hadi utumbo ukawa unaonekana kwa nje, baadae wakaongea maneno fulani yule mtu akazinduka na hakuwa na kovu lolote lile
  • Siku nyingine wilimuita mtoto aliyekuwa mdogo kuliko wote darasani wakamuweka ndani ya gunia lililokuwa tupu mara baada ya dakika kadhaa... pipi na biskut zikajaa kwenye lile gunia...
Naombeni tukumbushane vituko vyilivyokuwa vikifanyika kwenye mazingaombwe

Vilevile nimejiuliza maswali yafuatayo:
  1. Nini kilikuwa kinasababisha tuone mtu aliyepasuliwa tumbo hana hata kovu eneo lililopasuliwa?
  2. Mazingaombwe bado yanafanyika mashuleni mpaka sasa?
  3. Je Wizara ya Elimu ilikuwa inakuridhia mazingaombwe kufanyika mashuleni?
Mtazamo wako ukoje katika haya?
kunaa jamaa mmoja alikuwa anaitwa kababa yeeee....anakalia misumari atoboki hahaaa,kuna masi ya mote....KATIKA VITUKO VILIVYO JIRI NIHICHIA.waliitwa wanafunzi wawili mbele wa kike na kiume...jamaa akafanya mambo yake akawapa ndizi za kuiva wakala THEN wakaambiwa waondoke wakasahau kusema thanx.ebana eeh wakaambiwa warudi wakaulizwa kwanini hamjasema asante haya ninipeni ndizi zangu.....akaanzwa demu akaambiwa aruke juu kuruka ndizi ikatoka kupitia njia ya sehemu ya siri...duh nouma[note,dada mwenyewe sister du kweli yanii nikimuona now nacheka sana]mwanaume nae akaanza kutoka coin kupitia njia ya haja kubwa coin kibao
 
Ok mko fine wana JF!!
Nilikua mtaani nkakuta kundi kubwa limekusanyika na kila mmoja akiwa na different facial expression i.e wengine mshangao; wengne wakifurahi; wengine wakiwa makini kufuatilia kila anachokfanya kijana mmoja wa umri wa kati ya 30-40s.ile kuuliza kuna nni nakajibiwa ni mwana mazingaombwe!!!! Nkajpenyeza na kuanza kufuatilia kwa makini but 2 b sure majanga yalifanyika nisijue anatumia ujanja ujanja au ni branch of science which deals with jujue??? Wakuu plz naomba kujulishwa wanamazingaombwe wanatumia uchawi au ni sayance ya kizungu?????
 
Ok mko fine wana JF!!
Nilikua mtaani nkakuta kundi kubwa limekusanyika na kila mmoja akiwa na different facial expression i.e wengine mshangao; wengne wakifurahi; wengine wakiwa makini kufuatilia kila anachokfanya kijana mmoja wa umri wa kati ya 30-40s.ile kuuliza kuna nni nakajibiwa ni mwana mazingaombwe!!!! Nkajpenyeza na kuanza kufuatilia kwa makini but 2 b sure majanga yalifanyika nisijue anatumia ujanja ujanja au ni branch of science which deals with jujue??? Wakuu plz naomba kujulishwa wanamazingaombwe wanatumia uchawi au ni sayance ya kizungu?????

mkuu unahsngaza sana,ulikuwa nae ukashindwa kumuuliza sasa si huku tutajuaje?
 
sijui wabongo wanatechniques zipi ila am sure ni walewale wanatumia ujanja ujanja tu... mchawi kwa nini akaonyeshe techniques zake za uchawi kwenye mass.. it doesnt make sense... afu hakuna sayansi ya kizungu, its simply science...
 
Hawana tofauti na wale wa mtaani wanaochezesha bahati nasibu...
 
alikua anafanyaje hasa au ndo wale wanaoweka spoku na panga juu ya nywele za kichwa?
 
huwa inashangaza upanga ktk ya kichwa cha binadamu/watambuzi watujuze ni nini hufanyika?
 
Back
Top Bottom