Mazingaombwe (Jugglery) ni Sayansi au Uchawi?

Mazingaombwe (Jugglery) ni Sayansi au Uchawi?

Mazingaombwe ni uchawi tu ila huu unapofanya pembeni ni lazima awepo jini mwenye uwezo wa kubadilisha taswila ya kitu na kukifanya kuwa ktk mwonekano unaoutaka wewe.
 
Ni kwa sababu najua na nimeshafanya hiyo michezo Mara nyingi hivyo najua ila kila mazingaombwe yana wasimamizi wake ambao ni majini tofauti hi yo unapofanya unatakiwa ujue charminglady
 
Last edited by a moderator:
Kiranga unaamini kwenye mazingaombwe ??
 
Last edited by a moderator:
NICOLAX

This should be played at high volume. Probably in a residential area.

-"The Chronic" skit.

Wabongo wengi sana wanapenda kuamini uchawi na majini, vitu ambavyo hakuna ushahidi wala uthibitisho kwamba vipo.
 
Last edited by a moderator:
This should be played at high volume.

Probably in a residential area.

-"The Chronic" skit.

Wabongo wengi sana wanapenda kuamini uchawi na majini, vitu ambavyo hakuna ushahidi wala uthibitisho kwamba vipo.

Na bahati mbaya wanavitanguliza mbele wakidhani vitawasaidia kutoka kimaisha... badala ya kufanya kazi kama Wajapan au Wachina!

Aibu ni kwamba mchawi wanayemwani kuwapa ubilionea hana hata elfu 10 mfukoni....
 
bado sijaona majibu hapa, watu wamebase kwenye viini macho (illusion), sijaona majibu ya mazingaombwe!

kwani kuna utofauti gani kati ya viini macho na mazingaombwe ?
naona hapo juu umemaanisha ni vitu tofauti

.made in mby city.
 
Nasubiri waje hao watajwa hapo juu. Nategemea maarifa zaidi MziziMkavu

mkuu Globu si lazima waje watajwa tu kwani hatuwezi kuwa-tag wana JF wote kwakuwa hatujui ujuzi wao juu ya hili jambo na ndio maana mwishoni nikamalizia na kusema wooooote wakaribie kujadili,
hata wewe pia kama unajua unaweza kusogea hapa na kuchangia chochote kwa ajiri ya wanaJF
thanks

.made in mby city.
 
Last edited by a moderator:
Hayo mambo mtafute kakobe,lusekelo,gwajima,geodevi watatoa majibu mazur sana
 
Mi naona kuna mazingaombwe ya aina mbili
1.kuna mazingaombwe ya tricks kama vile hiyo michezo ya karata kuungana
2.kuna mazingaombwe ya uchawi mfano darasa kugeuka gari au mtu kukatwa kichwa pia kuna mtu kuingizwa kwenye tumbo la chatu
halafu pia ni uchawi bcoz kuna vitu ukivifanya pale mazingaombwe hayawezi kufanikiwa kama vile kugeuza mavaz nje ndani,kufunga swala nk
 
This should be played at high volume.

Probably in a residential area.

-"The Chronic" skit.

Wabongo wengi sana wanapenda kuamini uchawi na majini, vitu ambavyo hakuna ushahidi wala uthibitisho kwamba vipo.

Anza wewe kutufundisha hiyo ya simu kwenye kitabu
 
Majibu Badoo Hayajapatikana Kwa Wachangiaji Wote. Mleta Mada Na Hata Mimi Piya Na Wengineo Wanajamiiforu M Wanataka Kujua Kwamba Wanafanyafanyaje Mpaka Karata Zinaunganika, Na Au Makaratasi Kuwa Hela Na Mabadiliko Mengine Ambao Yanatokea Kutoka Umbo Lake La Uhalisia Na Kupeleka Umbo Ambalo Si La Uhalisia. Nadhani Ndo Pointi Ya Msingi Watu Wataka Kuijuwa. Nadhani Bado Uzi Ni Yatima. Na #haa mym kidogo amegusia iila chunga mandiko yako.
 
kwanini umetumia wino mwekundu,bila shaka nawe ni mwanamazingaombwe

haaaaahaaaaahaaaa haaaahaaahaaaaaa jamaa unanletea utani, sasahivi ntakubadilisha uwe picha kwenye kitabu (I'm jus jocking mkuu)

.made in mby city.
 
NICOLAX

Home boy asante kwa mchango wako ila bado kuna walakini, kuna mazingaombwe ambayo ni mind tricks kweli ila kuna mengine yanaonekana kuwa zaidi ya hapo mf. michezo ya karata na coins hizo ni mind tricks lakini linapokuja swala la mtu kukatwa kichwa au simu kubadirishwa kuwa sahani na mtu akaweza kwenda nayo nyumbani kwake kulia chakula hapo kuna tricks zaidi au nguvu zaidi...
 
Last edited by a moderator:
hata mm najiulizaga sana hii kitu,,mdau uliyesema ni tricks labda ungeelezea kidgo hyo trick inafanyajwe? Mana ht hyo muvi ya illusionist mwsho wa cku jamaa alipotelea hewan,mi skuelewa kabisa
 
Mmmhhhh..... Bado sijaona jibu labda uelewa wangu mdogo
 
Back
Top Bottom