King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu jamaa ndo huwa najiuliza anatumia tricks gani?
Mkuu hapa mbona hawajaonesha trick behind? Jamaa amewezaje kupaa? Au kuna invisible strings zinamvuta?
Ni illusion tu,sipo kwenye desktop ila uki-search youtube unazipata zote.
Nakusoma home boy, kama nilivyosema mimi mwenyewe ni mgumu kuamini mambo ya uchawi kama siamini kabisa na wala sitaki kusema moja moja kwamba "mazingaombwe makubwa" ni uchawi. Bado swali linabaki mazingaombwe ni nini? Nakubali kuna mind tricks ila kuna tricks zingine zinaonekana kufanywa na nguvu ya ziada- nguvu ya ziadi ni nini sijui.
Ni uchawi tu hakuna tricks hapo
kuna elimu kubwa itapatikana hapa! sichezi mbali
Hayo mambo mtafute kakobe,lusekelo,gwajima,geodevi watatoa majibu mazur sana
Mazingaombwe sio uchawi
Mazingaombwe ni illusion tu,mtu anakufanya uone jambo fulani limetokea kumbe halijatokea ila anachofanya ni ujanja tu bila kutuma nguvu yoyote ile
Uchawi is something diferent kabisa
Uchawi ni nguvu hasi ambayo ina chanzo kabiaa na nguvu hii hutumika kidhuru wengine!
Mazingaombwe haswa ni yapi? Zote ni tricks tu
Please elezea vzur hyo trick inakuaje mf. Kuweka Simu kwenye chupa ni ujanja gan hapo unatumika?