Mazingaombwe (Jugglery) ni Sayansi au Uchawi?

Mazingaombwe (Jugglery) ni Sayansi au Uchawi?

Hizo Ni Tricks Tu.... Anaehitaji Kuthibisha Akifanya Mwenyewe Aseme Hapa Nimpe Formula Isio Na Gharama Akatapeli Watu Wawili Watatu....

"Rakims"
 
Hizo Ni Tricks Tu.... Anaehitaji Kuthibisha Akifanya Mwenyewe Aseme Hapa Nimpe Formula Isio Na Gharama Akatapeli Watu Wawili Watatu....

"Rakims"

wewe jamaa nilikuwa nakusubiria kwa hamu sana kwani najua una mengi sana ya kutujuza

hebu funguka mkuu Rakims

.made in mby city.
 
Hizo Ni Tricks Tu.... Anaehitaji Kuthibisha Akifanya Mwenyewe Aseme Hapa Nimpe Formula Isio Na Gharama Akatapeli Watu Wawili Watatu....

"Rakims"

Mkuu, Itakua vizuri sana kama utatoa hizo tricks. Mimi ni mmojawapo kati ya wanaohitaji kujua hii makitu
 
Tusiwe wavivu wakutafuta mambo tokea mada imetolewa mpaka leo bado amjajua tu kama si uchawi NICOLAX aligusia kuhusu muvi ya illusionist niliitafuta youtube nikakutana na jamaa mmoja ana vaa mask.Uule jamaa kaonesha mambo mengi sana mangine nilikua nayajua kitambo ila kuna mengine nimeyajua juzi tu kupitia huu uzi baada ya kutafuta youtube ni ujanja tu akuna uchawi.
 
Last edited by a moderator:
filamu nazo husaidia kuelewa hizi ishu. tafuta movie zifuatazo.
1.now you can see me
2.the illusionist.
3.the prestige.
4.magic in the moonlight.
5.Oz the great and poweful.

hizi movie zilinifungua sana kuhusu mazingaombwe. wana mazingaombwe ni moja ya watu wabunifu sana.
 
watu wengi tunasahau kazi kubwa ya mazingombwe haifanyiki jukwaani lakini kabla ya jukwaani. kwenye now you can see me jamaa waliiba benki paris wakiwa stejini vegas. lakini kazi waliyofanya kabla ya steji ni kubwa mno. mara nyingi hata steji huwa special. kuna trick ya njiti ya kiberit kuelea juu ya karata hakuna kuelea bali wanatumia karata special. pia kuna nyingine mtu anaonekana anaelea. kwenye saikoloji kuna topic inaitwa factors affecting perception. wanamazingaombwe hucheza na hizo
 
utaona kuna transparent tape imeshikilia njiti.

78664_690e97f4-1b4b-11e4-ba41-09914908a8c2.jpg
 
floatingmatch.jpg

hapana akikupiga abracadabra na alkazuum lazima useme mchawi.
 
Mmenikumbusha enzi za primary tulikuwa tunatishwa sana na haya mambo(zengwe).
 
Tusiwe wavivu wakutafuta mambo tokea mada imetolewa mpaka leo bado amjajua tu kama si uchawi NICOLAX aligusia kuhusu muvi ya illusionist niliitafuta youtube nikakutana na jamaa mmoja ana vaa mask.Uule jamaa kaonesha mambo mengi sana mangine nilikua nayajua kitambo ila kuna mengine nimeyajua juzi tu kupitia huu uzi baada ya kutafuta youtube ni ujanja tu akuna uchawi.

mkuu haa mym nakubaliana na wewe kabisa kuwa hapa hakuna uchawi kwenye hizi mambo instead they are mind tricks tu
tatizo la watu wengi ni ile hofu ndani yao kwamba kuna baadhi ya mambo hayafai ku-judge bali ni kuitimisha
wakiona jambo jema(muujiza) limetukia basi utasikia MUNGU katenda
wakiona changa la macho basi utasikia uchawi huo

jamani sie pia tuna hofu ya MUNGU lakini hatupendi kupokea kila kitu bila ku-judge kwanza
what is this ?
why it is like this ?
why it's not like that ? etc
ukisha judge vya kutosha jarbu kufanyia research kidogo utaona ujanjika toto unavyo fanyika hapa

mbona hata mkuu GOD fearer mwenzangu Eiyer anaijua hii kitu
mimi nazani katika hii mada ndipo wakuu kama Kiranga, Mkuu wa chuo, Eiyer, cybertech, Mjuni Lwambo Ishmael e.t.c ndipo wanapokaa na kukubaliana na jibu moja

hebu tafuta muvi alizoziweka hapo juu mkuu RedGIANT uone ujanjika toto uNavyo fanyika wakuu

sijamuona tena Rakims akirudi na nondo, mkuu Rakims uko wapi mkuu tunakusubiri pamoja na mkuu Pasco
nazani mkuu Monstgala hajapita huku, akipita lazima atatuachia elimu kubwa
mkuu MziziMkavu tunakuitaji huku

.made in mby city.
 
Last edited by a moderator:
Ukiangalia emmanuel tv ya tb joshua ndio utajua mazingaombwe ni uchawi. Si lazma uwe mchawi ila ni lazma uwe na spiritual powers au ujue lugha na combination za giza. Ni kama utabiri ulivyo.

Ukitaka kujua those things ni real nenda ubungo kwa wale wa viringi au biskuti ndio utajua. Au kama miaka ya 90 ilisoma shule za serikali ktk matamasha hizi vitu zilifanywa sana na wanaita mtu juu ahakikishie umma haf wanafanya.

Mie wakati npo primary kna mtoto aligeuzwa kichwa kikawa kinaangalia nyuma, yan tuliogopa na wengine nakumbka tulikimbia ovyo had jamaa akabd amrudishe mtt wa watu sawa kabla haijawa kesi wazaz wakija.
 
Ni Tricks tu hamna cha uchawi wala nini
Mwili wa binadamu unaweza fanya kitu chochote ukaonekana una super power but ni power of believe
Hata wewe unaweza tembea kwenye moto uki believe

Sasa ile powe ya ku believe ndio mshike mshike
Ila kuna shule zinafundisha mazingaombwe kwa maana they teach you magic TRICKS...
Pamoja na power of believe
 
Hapa Ulitukubaliane Kuhusu Mazingaombwe For My Side ntaka kujua wanafanye kubadilisha mchanga kuwa sukari mtupe material yake ambayo wanafanyia na ili sisi tuwe na believe kwamba nikichukua hik na hiki nikichanganya kwenye mchanga napata sukari vitu hvyo vitu gani?
 
nnaweza kusemavkunq mazingaombwe ya ukanjanja na real yule mchizi anyevaa mask huwez kumfananisha na chriss angel mie nakubalicmazibgaombwe yapo na hizo tricks zpo
fuatilia story ya criss angel ndiyo utajua ni tricks tu.
 
kuna issue ya inner power pasco aliwai leta mada yake apa, cjui yy anasemaje uhusiano wa innner power na mazingaombwe!!!
 
Hapa Ulitukubaliane Kuhusu Mazingaombwe For My Side ntaka kujua wanafanye kubadilisha mchanga kuwa sukari mtupe material yake ambayo wanafanyia na ili sisi tuwe na believe kwamba nikichukua hik na hiki nikichanganya kwenye mchanga napata sukari vitu hvyo vitu gani?
cheki hii hapa (si ya sukari! Lakini itakupa some hints):
[video]https://m.youtube.com/watch?v=vKE6rdOs8Pc[/video]
 
Back
Top Bottom