Mazingaombwe (Jugglery) ni Sayansi au Uchawi?

Mazingaombwe (Jugglery) ni Sayansi au Uchawi?

Mkuu, Itakua vizuri sana kama utatoa hizo tricks. Mimi ni mmojawapo kati ya wanaohitaji kujua hii makitu

Unataka Ipi Simple Kati Ya Hizi Mbili.....

Moja Kutoa Moshi Mzito Kwenye mkono wa Mtu?


au mbili kupaisha noti ya elfu kumi bila kuigusa?

"Rakims"
 
Unataka Ipi Simple Kati Ya Hizi Mbili.....

Moja Kutoa Moshi Mzito Kwenye mkono wa Mtu?


au mbili kupaisha noti ya elfu kumi bila kuigusa?

"Rakims"

bora umekuja mkuu Rakims
hiyo ya moshi mzito kwenye mkono wa mtu nazani itakua njema zaidi tukianza nayo
karibu mkuu Rakims

.made in mby city.
 
Last edited by a moderator:
Ni Tricks tu hamna cha uchawi wala nini
Mwili wa binadamu unaweza fanya kitu chochote ukaonekana una super power but ni power of believe
Hata wewe unaweza tembea kwenye moto uki believe


Sasa ile powe ya ku believe ndio mshike mshike
Ila kuna shule zinafundisha mazingaombwe kwa maana they teach you magic TRICKS...
Pamoja na power of believe

wapi huko mkuu C.T.U wanatoa elimu kama hiyo ?

.made in mby city.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu, mazingaombwe, mauzauza au viini macho ni ujanjaujanja tu(tricks)ambazo hata wewe ukielekezwa unaweza kuvifanya, ni sawasawa tu na tricks wanazofanya wahubiri wanaodai kuponya magonjwa na kutenda miujiza, huwa hakuna shetani wala roho mtakatifu anaekuwa involved. Nikipata muda naweza kuja kufafanua zaidi na kutoa mifano.
mkuu haa mym nakubaliana na wewe kabisa kuwa hapa hakuna uchawi kwenye hizi mambo instead they are mind tricks tu
tatizo la watu wengi ni ile hofu ndani yao kwamba kuna baadhi ya mambo hayafai ku-judge bali ni kuitimisha
wakiona jambo jema(muujiza) limetukia basi utasikia MUNGU katenda
wakiona changa la macho basi utasikia uchawi huo

jamani sie pia tuna hofu ya MUNGU lakini hatupendi kupokea kila kitu bila ku-judge kwanza
what is this ?
why it is like this ?
why it's not like that ? etc
ukisha judge vya kutosha jarbu kufanyia research kidogo utaona ujanjika toto unavyo fanyika hapa

mbona hata mkuu GOD fearer mwenzangu Eiyer anaijua hii kitu
mimi nazani katika hii mada ndipo wakuu kama Kiranga, Mkuu wa chuo, Eiyer, cybertech, Mjuni Lwambo Ishmael e.t.c ndipo wanapokaa na kukubaliana na jibu moja

hebu tafuta muvi alizoziweka hapo juu mkuu RedGIANT uone ujanjika toto uNavyo fanyika wakuu

sijamuona tena Rakims akirudi na nondo, mkuu Rakims uko wapi mkuu tunakusubiri pamoja na mkuu Pasco
nazani mkuu Monstgala hajapita huku, akipita lazima atatuachia elimu kubwa
mkuu MziziMkavu tunakuitaji huku

.made in mby city.
 
Mkuu, mazingaombwe, mauzauza au viini macho ni ujanjaujanja tu(tricks)ambazo hata wewe ukielekezwa unaweza kuvifanya, ni sawasawa tu na tricks wanazofanya wahubiri wanaodai kuponya magonjwa na kutenda miujiza, huwa hakuna shetani wala roho mtakatifu anaekuwa involved. Nikipata muda naweza kuja kufafanua zaidi na kutoa mifano.

nipo unataka ipi?

"Rakims"
 
jamani tulikuwa baa tumepiga nnenne akaja jamaa akachukua kisu cha jikoni akakaa mguu hadi tukaona mfupa wa paja damu zinaruka hapo bunju mazingaombwe pombe ilikata nikawa baridi
 
nipo unataka ipi?

"Rakims"

mkuu Rakims tusaidie hiyo ya kutoa moshi mkononi mwa mtu
nazani utasaidia kufungua macho watu hapa jamvini
karbu mkuu

.made in mby city.
 
Last edited by a moderator:
cheki hii hapa (si ya sukari! Lakini itakupa some hints):
[video]https://m.youtube.com/watch?v=vKE6rdOs8Pc[/video]
kweli jamaa ni magwiji wa tricks, mwanzoni nilijua ni uchawi aisee
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Leo hii nimeshuhudia mazingaombwe kupitia Channel 10 na nikakumbuka yale ya shule za msingi enzi hizo.

Sasa najiuliza,hivi hii ni sayansi au uchawi?
 
Mkuu kiweke wazi basi hicho ulichokishuhudia huko Channel Ten nasi tuyashangae hayo mazingaombwe!
 
Leo hii nimeshuhudia mazingaombwe kupitia Channel 10 na nikakumbuka yale ya shule za msingi enzi hizo.

Sasa najiuliza,hivi hii ni sayansi au uchawi?

Kifupi mazingaombe ni kitu kile kile uchawi, ila wanaofanya mazingaombwe wanatumia teknolojia hiyo ya kuficha ukweli kwa kufurahisha na kushangaza, lakini wenye nia mbaya hutumia teknolojia hiyo kufanya uovu. Siri ni ujanja unaotumiwa kuficha ukweli usionekane kwa macho. Mchawi anachofanya ni matumizi ya teknolojia hiyo asionekane kwa macho ili afanye anachokusudia kwa malengo yake binafsi au husuda.

Ndio maana serikalini tunacho kitengo maalum cha mazingaombwe kwa ulinzi na usalama wa taifa, kazi, ofisi na viongozi wake wasidhuriwe na hawa wanaotumia mazingaombwe. hawa wa serikalini hatuwaiti wachawi kwa vile wapo kwa mema si kwa mabaya.
 
slight of hand
mind setting
audiance diversion
science and chemistry
 
Unazungumzia Mazingaumbwe haya tuliyozoea ya ccm au kuna mengine?

Btw kwakuwa umeona kwenye TV basi bila shaka ni sehemu ya hayo.
 
Back
Top Bottom