Mazingaombwe (Jugglery) ni Sayansi au Uchawi?

mkuu Globu si lazima waje watajwa tu kwani hatuwezi kuwa-tag wana JF wote kwakuwa hatujui ujuzi wao juu ya hili jambo na ndio maana mwishoni nikamalizia na kusema wooooote wakaribie kujadili,
hata wewe pia kama unajua unaweza kusogea hapa na kuchangia chochote kwa ajiri ya wanaJF
thanks

.made in mby city.

haswaaa
 
hatari, mkuu hebu nipe hii elimu ya kulink unafanyaje, yaani mtu anasema bofya hapa halafu unapelekwa.

jaribu ku-search uzi mmoja unaitwa JF MOBILE USER nazani wameelekeza vizuri jinsi ya kufanya mambo kama hizi na nyingine nyingi mkuu
nenda ukapate elimu kule mkuu
tunashukuru JF elimu ni bureeee

.made in mby city.
 
NICOLAX

Sikubaliani naww mkuu huwezi kutoa picha ya simu ikawa simu halisi unless umetumia nguvu ya ziada hizo trick ndo uchawi wenyewe magic is evil thats all
 
Last edited by a moderator:
kwanini unazani kila mtu ana amini uchawi ?
kama kila trick ni uchawi basi hata mtu akipiga trick papuchi ya my wife wako(gegedo) basi ni mchawi eti eeeh ?
.nenda YouTube, tubidy na kwingineko tafuta CLIPS za mtu mmoja anaitwa DYNAMO MAGICIAN uone zile tricks za kitoto kabisa ambazo ww unaita uchawi
nenda google ukapate mafunzo ya kufanya hizo mambo
fanya utafiti mkuu acha uvivu na kubisha pasipo hoja zenye mashiko, google will be your best friend for this one mkuu

.made in mby city.

Uchawi ni uchawi tu wether its simple or complex hakunacha tricks wala magic
 
Home boy asante kwa mchango wako ila bado kuna walakini, kuna mazingaombwe ambayo ni mind tricks kweli ila kuna mengine yanaonekana kuwa zaidi ya hapo mf. michezo ya karata na coins hizo ni mind tricks lakini linapokuja swala la mtu kukatwa kichwa au simu kubadirishwa kuwa sahani na mtu akaweza kwenda nayo nyumbani kwake kulia chakula hapo kuna tricks zaidi au nguvu zaidi...

Home boy naomba niseme kwamba mimi nimeongelea kitu nlichowahi kukiona kwa macho yangu na nika-conclude kuwa ni uchawi lakini nilipokuja kupata ka-elimu kaduchu tu kuhusu iyo mambo nikahamaki kuwa kumbe ni ka mchezo ka kitooto
kwa mf. Kubadilisha kitambaa na kuwa ua rose alafu nampatia mchumba faizafoxy, simu kuingizwa kwenye chupa, kuichanga/kuchangisha simu kama play cards na tu trick twingine tu dogodogo nimefahamu

ila kama Mkuu Kiranga anavyopenda kusema "hata kama sijui square root ya 2 then isiwe kigezo cha kuniambia 8 ndiyo jibu"

hivyo viini macho vingine mimi sijui inakuaje, na kama sijui inakuaje basi usinilazimishe niamini kwa jibu lolote lile eti kisa sifahamu hicho kitu, kisa sifahamu hivyo viini macho vingine vinakuaje kuaje basi usiniambie lazima uchawi utakuwa unahusika hapo, hapa jukwaani watu wajaribu kutoa concrete hoja ili nikubali kirahisi na si kusingizia uchawi tuuuuuu bila hoja tu

.made in mby city's.
 
Nakusoma home boy, kama nilivyosema mimi mwenyewe ni mgumu kuamini mambo ya uchawi kama siamini kabisa na wala sitaki kusema moja moja kwamba "mazingaombwe makubwa" ni uchawi. Bado swali linabaki mazingaombwe ni nini? Nakubali kuna mind tricks ila kuna tricks zingine zinaonekana kufanywa na nguvu ya ziada- nguvu ya ziadi ni nini sijui.
 
Mazingaombwe sio uchawi

Mazingaombwe ni illusion tu,mtu anakufanya uone jambo fulani limetokea kumbe halijatokea ila anachofanya ni ujanja tu bila kutuma nguvu yoyote ile

Uchawi is something diferent kabisa

Uchawi ni nguvu hasi ambayo ina chanzo kabiaa na nguvu hii hutumika kidhuru wengine!
 
Mimi naona mmebaki katika mduara mnazunguka hamjapata njia ya kutokea...mara siuchawi nini?trick sawa tupe njia za trick hakuna...illusion kivipi kimya bottomline niuchawi my opinion!
 
jaribu ku-search uzi mmoja unaitwa JF MOBILE USER nazani wameelekeza vizuri jinsi ya kufanya mambo kama hizi na nyingine nyingi mkuu
nenda ukapate elimu kule mkuu
tunashukuru JF elimu ni bureeee

.made in mby city.

mkuu nilifatiliaga lakini sikuelewa, kwani ukinifundisha tena hapa utapungukiwa na nini?
 
Mazingaombwe sio uchawi

Mazingaombwe ni illusion tu,mtu anakufanya uone jambo fulani limetokea kumbe halijatokea ila anachofanya ni ujanja tu bila kutuma nguvu yoyote ile

Uchawi is something diferent kabisa

Uchawi ni nguvu hasi ambayo ina chanzo kabiaa na nguvu hii hutumika kidhuru wengine!

well said mkuu Eiyer

.made in mby city.
 
Nakusoma home boy, kama nilivyosema mimi mwenyewe ni mgumu kuamini mambo ya uchawi kama siamini kabisa na wala sitaki kusema moja moja kwamba "mazingaombwe makubwa" ni uchawi. Bado swali linabaki mazingaombwe ni nini? Nakubali kuna mind tricks ila kuna tricks zingine zinaonekana kufanywa na nguvu ya ziada- nguvu ya ziadi ni nini sijui.

ni kweli home boy mambo mengine siyo ya kuyapa imani kubwa bila hata kufanya ka utafiti kadogo tu

haya mambo ya mazingaombwe inafikia wakati wakati unabaki na swali tu bila jibu kamili
mf. ile trick ya kutembea juu ya maji au kulala hewani lazma ubaki na maswali elfu kidogo

kuna link nimeisahau ilipo ila nkikumbuka tutashare pamoja jinsi wanavyofanya zile tricks

Halafu ni kama hawa wana mazingaombwe hawataki tujue mbinu zao kiundani, ukiuliza au kufuatilia unakuta habari za mazingaombwe yale rahisi rahisi tu (mind tricks) ila yale "mazingaombwe haswa" hawagusii
 
Mazingaombwe sio uchawi

Mazingaombwe ni illusion tu,mtu anakufanya uone jambo fulani limetokea kumbe halijatokea ila anachofanya ni ujanja tu bila kutuma nguvu yoyote ile

Uchawi is something diferent kabisa

Uchawi ni nguvu hasi ambayo ina chanzo kabiaa na nguvu hii hutumika kidhuru wengine!

ki vp kaka? mtu kashika kitambaa af kinageuka kuwa njiwa,,em tuambieni ht trick 1 basi
 
Halafu ni kama hawa wana mazingaombwe hawataki tujue mbinu zao kiundani, ukiuliza au kufuatilia unakuta habari za mazingaombwe yale rahisi rahisi tu (mind tricks) ila yale "mazingaombwe haswa" hawagusii

Mazingaombwe haswa ni yapi? Zote ni tricks tu
 
Kuna kipindi naangalia mazingaombwe na truth behind...hawa jamaa kweli wanacheza na akili za watu
 
ki vp kaka? mtu kashika kitambaa af kinageuka kuwa njiwa,,em tuambieni ht trick 1 basi

Pitia huu uzi utaona kuna mahali watu wameelezea kuwa ni ujanja tu lakini pia nenda youtube utakuta kuna video nyingi tu zikielezea haya mambo

Hapa nitakuelezaje kwa maandishi?
 
nina imani watakuja wenye elimu kubwa hapa kuhusu hili jambo
.
karibuni Rakims, 1701, Juve, Falsafa, free ideas, greencity, Kongosho, King-kong, HandsomeBabu, armi, Wickaman, C.T.U, Shylang n.k.

.made in mby city.

Nakubaliana na wewe mkuu nicolax,hizi ni tricks tu,ukienda google kwenye "Magic Tricks Revealed" unaona ujanja wao wanaoutumia,ni michezo tu ya danganya toto,ni kama documentary ya mohamed ali akimuelezea yule fake pastor watu wakinawa mikono inatokea damu kumbe ni sulphate,kule usa kuna david copperfield anafanya sana hizo tricks pia kuna Ustadhi flan yupo youtube alishaonyesha mbinu zao kama zile kujichoma kisu kichwani kinatokea upande wa pili.
 
Back
Top Bottom