kuna mtu anaitwa DINAMO MAGICIAN ni hatari sana kwenye hizi mambo
mf. kuingiza cmu kwenye chupa ya bia, kulala hewani, kutembea juu ya maji, kupenyeza mkongo katkati ya kioo bila kutumia force kubwa na bila kupasua, tricks zote zinazohusu karata basi yeye ndiyo master na ujanja-ujanja mwingine
ila kwa upande wangu ningependa kuchangia kwa kusema zile ni tricks tu hakuna cha ziada pale
kuna jamaa mmoja nimesoma naye pale PANDAHILL MBEYA jamaa alikuwa anaweza kutoa simu iliyokuwa imechorwa kwenye kitabu(nakala ya matangazo ya simu) na inakuwa simu halisi, nilijua mshikaji ni mchawi ila baadaye alikuja kunifunulia jinsi trick anavyoitengeneza, ebwaaanaeeeeeh ni kimchezo cha kitoto sana ukijua zile tricks
tafuta movie moja hivi inaitwa ILLUSIONIST nazani utaona tricks vizuri na jamaa staring wa movie alikiri kuwa ni tricks tu hakuna uchawi pale na movie inapoisha jamaa aliacha michoro na ma-formula yote ya hizo tricks
ukienda google nazani unaweza ukapewa mafunzo kamili jinsi wanavyo tengeneza hizo tricks mpaka unaona ni ushetani fulani
.karibuni
MziziMkavu, pasco, kiranga, Ishmael, Monstgala, Eiyer, Cybertech, Mjuni Lwambo, Mkuu wa chuo, Mkwesya Makambo, LittleHulk, TheBoss, FaizaFox, Housegirl, MshanaJr, SupuYaMawe, YerickoNyerere,2013 na wengine woooooooote tujadiri hii kitu
.made in mby city.