Mazingaombwe ni ujuzi gani?

Wakati niko shule ya msingi Nyakabungo mwanza alikuja mwana mazingaombwe mmoja,kwa macho yangu nilishuhudia mfuko mtupu ambao ulikung'utwa na nilijiridhisha haukuwa na kitu chochote ndani jamaa yule aliuwekea makaratasi tupu ambayo niliyachana kutoka kwenye daftari langu ambalo nilikuwa sijaliandikia chochote na mara baada ya kumwaga chini makarasi yale zilitoka blue blue tupu yaani noti za elfu kumi elfu kumi maana kipindi kile zilikuwa za blue.Mpaka leo huwa najiuliza maswali kama kaweza kufanya uchawi wa kugeuza karatasi kuwa pesa ameshindwa nini kutoa nyingi za kutosha ili azitumie mwenyewe na badala yake alituchangisha wanafunzi shiling hamsini hamsini za kutazama onesho lake!!???

Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
 
Sijui ni sayansi gani Ile.

Natamani wenye uelewa nayo waje watoe muongozo.
 
Michezo hiyo ni sawa na kusema "Unaibiwa na Unanyang'anywa" kwa Hiari yako. Waathirika huwa hawajiulizi; Huyo mtu mchezeshaji esp. magulioni au minadani; ni kwa Upendo gani kwako hadi aje kukupa hela kirahisi-rahisi kihivyo? Inafaa ujue lile genge la watu esp. vijana waliopo hapo kumzunguka ni washirika wamoja na yule mchezeshaji, isipokuwa wewe unayejipeleka hapo ndo mbuzi wa kafara. Halafu ujue hiyo michezo sio mazingaombwe bali ni Kamari.
 
Ukijifunza utaweza na pengine hata kumzidi huyo mwamba aliyekushangaza.. Huo sio Uchawi. Mazingaombwe ni Magic; Uchawi ni Witchcraft.
Magic na Witchcraft ni maneno tu hayaondoi ukweli kuwa Mazingaombwe ni sanaa ya kushangaza sana.

Basi nimekubali ni magic. Je, hii magic inafanyikaje mpaka ipumbaze akili ya binadamu!!! Inashangaza.
 
pia soma ama angalia video za You tube- America got talent, ndiyo utayaona advanced mazingaimbwe!
 
Ukijifunza utaweza na pengine hata kumzidi huyo mwamba aliyekushangaza.. Huo sio Uchawi. Mazingaombwe ni Magic; Uchawi ni Witchcraft.
Magic na Witchcraft ni maneno tu hayaondoi ukweli kuwa Mazingaombwe ni sanaa ya kushangaza sana.

Basi nimekubali ni magic. Je, hii magic inafanyikaje mpaka ipumbaze akili ya binadamu!!! Inashangaza.
 
Michezo hiyo ni sawa na kusema "Unaibiwa na Unanyang'anywa" kwa Hiari yako. Waathirika huwa hawajiulizi; Huyo mtu mchezeshaji esp. magulioni au minadani; ni kwa Upendo gani kwako hadi aje kukupa hela kirahisi-rahisi kihivyo? Inafaa ujue lile genge la watu esp. vijana waliopo hapo kumzunguka ni washirika wamoja na yule mchezeshaji, isipokuwa wewe unayejipeleka hapo ndo mbuzi wa kafara. Halafu ujue hiyo michezo sio mazingaombwe bali ni Kamari.
 
pia soma ama angalia video za You tube- America got talent, ndiyo unayaona advanced mazingaimbwe!
 
Zile nilizozishuhudia LIVE zinaonesha ni jinsi gani elimu ya Mazingaombwe inavyoshangaza.

Imagine ukiwa kwa nje unaona kabisa ile haina picha, Sasa mtiti wake ingia ucheze alooh😁
pia soma ama angalia video za You tube- America got talent, ndiyo unayaona advanced mazingaimbwe!
 
Kuna kuchanganya mikono haraka sana ili kuficha na kudanganya kwa audience baadhi ya matendo. Hii unaweza kujifunza.
Hata ukiangalia kwa magwiji ukiwa makini unaweza kugundua baadhi ya tricks.
 
Iwe kamari ama Mazingaombwe ni sawa tu.

Lakini swali la kujiuliza kwanini kabla hujaingia kucheza unaona kabisa ile pale yenye picha ila ukiweka tuu Paap umeliwa😃..

Ebu na wewe kafanye utafiti wako hata 5k utakuja kuthibitisha maneno yangu.
 
Magic na Witchcraft ni maneno tu hayaondoi ukweli kuwa Mazingaombwe ni sanaa ya kushangaza sana.

Basi nimekubali ni magic. Je, hii magic inafanyikaje mpaka ipumbaze akili ya binadamu!!! Inashangaza.
Mkuu; Mwoneshaji mazingaombwe ni lazima awe very quick and acurate kwenye ile conjuring action. Hufanya mazoezi yao mbele ya kioo cha kujiangalia (Looking Mirror)na kujitathmini kama wamefanikisha lengo kabla ya kujitokeza ili kuonesha mbele ya kadamnasi ya watu.
Wengi wa waonesha mazingaombwe husaidiwa sana na "kifimbo " anachokuwa ameshika mkononi. Kazi ya kifimbo hicho ni kudeviate attention ya watazamaji na huwa wanatumia maneno ya abracadabra kumfanya mtazamaji afikirie inavyotamkwa badala ya kudadisi kile kinachoendelea. Halafu siku zote mwonesha mazingaombwe hatokaa aruhusu watazamaji wakae/waketi nyuma yake -Never. Mpaka hapo broo. sasa jiongeze.
 
Kuna kuchanganya mikono haraka sana ili kuficha na kudanganya kwa audience baadhi ya matendo. Hii unaweza kujifunza.
Hata ukiangalia kwa magwiji ukiwa makini unaweza kugundua baadhi ya tricks.
Basi tuachane na hilo la kuchanganya mikono kwa haraka.

Tuongelee hii ya Mwana-mazingaombwe kukata ndizi kwa distance ya mita 3, Yani assume wewe ni Mwana-mazingaombwe mkononi umeshikilia kisu na Mimi nipo distance ya mita 3 kutoka kwako lakini unafanikiwa kukata ndizi nilioshikilia mkononi. Je, hichi kitendo kinatokeaje? Hii nilishuhudia LIVE sijahadithiwa wala kuangalia YOUTUBE.
 
Hujanishawishi, Hivi umeshawahi kushuhudia Mwana-mazingaombwe live au unaangalia kwenye simu?

Siongelei tricks nyepesi unazozisemea wewe, Ila kama wewe ni wa kishua huwezi elewa pia.
 
Naendelea kujiuliza wanawezaje kudanganya ubongo!!!?
 
hapo huwa wanatumia sindano kuikata ndizi kwanza before waje kwa audience
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…