Mazingira ambayo mke wako akizini lazima umsamehe na muendelee na maisha ya ndoa

Jambazi aache kuiba halafu azini? Haipo hiyo.

Sijaona sababu hapo.
 
Kama yeye anajotoa hivyo, wewe unajitoa aje?
 
Akizini katika harakati za kumshangilia MAMA kwa utendaji kazi wake na ongezeko la tozo
 
Sasa mbona "hela" umeandika vizuri....halafu ukabomoa kwenye "harafu"?
Mambo mengine muwe mnapotezea tu, inashindikana vipi kufocus kwenye mada kuliko kukagua makosa ya mwandishi?, JF ni sehem ya watu wengi, level tofauti tofauti, utaifa tofauti tofauti na ujuzi wa lugha tofaut tofauti, hatuko sawa humu, kama wew unajiona msomi mzuri wa kiswahil basi juwa kuna wasomi zaid yako wenye lugha zaid ya4, kiswahil,kiingereza,kifaransa,kichina, hivyo kukosea Spelling ktk lugha moja si kosa, chamuhimu hoja ama mada imeeleweka.

Pia wapo baba na mama zenu humu waliosoma elimu ya zaman wakaishia darasa la8, unalijua? Hawa kukosea kuandika ni kawaida sana,

Hii tabia ya kusubiri mtu akosee na ukosoe huo ni upumbavu sana
 
Ndo tulivyo Watanzania,yaan mtu kufaham tu spelling nae anajiona bonge la mtu
 

Mazingira ya namna hiyo yakitokea sina sababu ya kuendelea kuwepo duniani wala kuhesabika kama mwanaume.

Kufa inaweza kuwa better kuliko fedheha.
 
Akimpa mkuu wa kituo ili wewe utoke lockup
 
Na akizini ukiwa umepunguka nguvu za kiume
 
Kama hujui maana ya usaliti basi bado akili yako ni ndogo.

Kuzini usaliti.
Kubakwa sio kuzini.
Sasa Kama mtu anamiaka zaidi ya 18 lakini anashindwa kutofautisha kuzini na kubakwa huoni tayari kuna tatizo
 
Tatizo helimu watazania wengi awana ndio mahana.

Mii mwenewe nimeshanaga sana hanaadikaje pumba Kama ivo.Ila kugongewa hakuna exichuzi,ukishajua umegongewa unamzalau mkeo

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Duh! Kwa iyo na wewe ukaamua kutupiga kitu cha "mahana"...."hanaandikaje" na kama haitoshi ukamalizia na "unamzalau".
 
Mkuu, lazma tujivunie kiswahili jameni... ila nimekusoma. Inaeleweka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…