Mazingira gani ambayo ulipoteza / kuibiwa simu, ambayo hutoyasahau?

Ukatamani hata ungepiga shato pori tu [emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
Afu wezi walinionea sana chuo, baada ya kuibiwa simu ,in few weeks kuna weekend moja jmosi nimefua nguo karibia zote kabatini, nimezianika hali ya hewa kama kimvua mvua,so hazikukauka nikaziacha nikatoka zangu, jpili nimerudi nikapitiliza nilipokua nimezianika ili nizianue, nakuta kamba nyeupee,nikahisi roommates wamenianulia labda, nawauliza wanasema hawajaziona duh, ni kama nilianza upya kununua nguo, waliiba zote hadi raba zangu pendwa walipita nazo aisee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kheeee! walichukua hadi kofuli ! Wezi wabaya sana
 
Dooh noma hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio wajinga mkuu wangekua wajinga wangeshindwa hao ni wajsnja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadada wakali tena wa chuo kimbe nao wezi[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We kuna sehemu ulikosea kama sio mavazi basi ulileta majivuno flani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao wangekuta na kiporo cha wali wangekula pale pale

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mara ya kwanza niliibiwa kiinfinix changu saa 11 asubuhi mwizi alipita dirishani na nilimsikia na kumuona ila sikuweza kupiga kelele[emoji23]

Mara ya pili nikaibiwa huawei hii nilinunua baada ya infinix yule mwizi sijui aliibaje hadi leo sielewi ila ninachokumbuka nilifika room tu bila simu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole Sana kwahiyo waliiba kila kitu mpaka nguo zako za ndani? [emoji849]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…