Stan Pearson
Senior Member
- Dec 9, 2019
- 154
- 295
Kama zillipona ndio maana una akili nzuri. Wangezipeleka Bagamoyo kwa babu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaa, hata hukuisoma hiyo meseji eeh?, kama nakuona ulivotamani hata wakusubirie umalizie kusoma ndyo wachukue[emoji3][emoji3],kama yao vileenilikua natembea road ghafla meseji ya mtoto mzuri ikaingia ile kuitoa na kuanza kuisoma.ghafla simu ikakwapuliwa na vijana wawili walikua wamepanda boda boda.asee nilibaki naangalia kwa uchungu tu.maana speed waliyotoka nayo hapo sio ya kitoto.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh, nomaa sasa babu atafanyia nini hiyo mijupi?Kama zillipona ndio maana una akili nzuri. Wangezipeleka Bagamoyo kwa babu
We kuna sehemu ulikosea kama sio mavazi basi ulileta majivuno flani
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]We ni msukuma eeh?
ByeeeeeeeeeeNiliibiwa
1...Samsung galaxy. Pale tazara yaani walinikwapua,nikabaki nimeduwaa[emoji50],
2,,,,,,Samsung galaxy tena mpyaa,niliendaga kwa aunt buguruni,usiku wote wapo ktk vyumba vyao
Mie nilitoka,nilienda kuoga simu niliiacha kitandani,nipo zangu bafuni/bafu la nje,nilisikia geti linafunguliwa mtu alikuwa anaingia,baada ya dk chache nikasikia tena geti linaludishwa mtu katoka nje,,,,,,,,vile nimemaliza kuoga kuingia room mlango upo wazi kutupia jicho kitandani simu haipo,
aisee nilipigwa na shot nilinyanyua godoro na chaga,juu ya kabati,ndani ya kabati simu haipo,,,aisee nililia balaa
3.......kinyerezi kwa smart/infinix
Natoka zangu home,asubuhi nimeshika simu nilikuwa nachart,mbele yangu kulikuwa na mkaka yupo na bodaboda kasimama,nilivyokaribia kwake akawasha boda akanikwapua simu akasepa nayo,alivyofika mbele akanipungia mkono byeeeee na mie nika nikampungia byeeee,
Yaani nilisimama pale kama dk 5 sikuamini macho yangu[emoji3]
Was mwanzaaaaaa[emoji23]Byeeeeeeeeee
Wewe ni msukuma?[emoji2]
Hiyo ya 3 sasa kiboko, mama alikwapuliwa Mahenge stand palee.Niliibiwa