Niliibiwa
1...Samsung galaxy. Pale tazara yaani walinikwapua,nikabaki nimeduwaa[emoji50],
2,,,,,,Samsung galaxy tena mpyaa,niliendaga kwa aunt buguruni,usiku wote wapo ktk vyumba vyao
Mie nilitoka,nilienda kuoga simu niliiacha kitandani,nipo zangu bafuni/bafu la nje,nilisikia geti linafunguliwa mtu alikuwa anaingia,baada ya dk chache nikasikia tena geti linaludishwa mtu katoka nje,,,,,,,,vile nimemaliza kuoga kuingia room mlango upo wazi kutupia jicho kitandani simu haipo,
aisee nilipigwa na shot nilinyanyua godoro na chaga,juu ya kabati,ndani ya kabati simu haipo,,,aisee nililia balaa
3.......kinyerezi kwa smart/infinix
Natoka zangu home,asubuhi nimeshika simu nilikuwa nachart,mbele yangu kulikuwa na mkaka yupo na bodaboda kasimama,nilivyokaribia kwake akawasha boda akanikwapua simu akasepa nayo,alivyofika mbele akanipungia mkono byeeeee na mie nika nikampungia byeeee,
Yaani nilisimama pale kama dk 5 sikuamini macho yangu[emoji3]