Mazingira gani ambayo ulipoteza / kuibiwa simu, ambayo hutoyasahau?

Ulikuwa unamlia pesa sana ndiyo maana alikufanyia hivyo
 
Mimi nikikutana na mtu yoyote au kwenye mkusanyiko wawatu chakwanza akili yangu na moyo wangu unaniambia niwe makini na vitu vyangu ninaweza kuibiwa dakika yoyote
 
Hiyo ya 3 sasa kiboko, mama alikwapuliwa Mahenge stand palee.
Uwiiiiiih afu tulikua wote. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We acha tu niliishia kuganda,
 
Mimi natoka zangu job nikasema ngoja niteremke Buguruni nipate mbili baridi Kigongo bar enzi zile. Giza linaingia kaja mdada ana mzigo sio wa kawaida kukaa nilipo. Nikajisemea hili siliachi. Nikamwambia aagize kinywaji, Safari moja huanzisha nyingine. Mishale ya saa tatu nikamwambia tuingie Kigongo gesti tukayajenge akaniambia hakuna haja ya kupoteza pesa, tuingie chocho kwa Babu kwa jero tu.
Baasi bwana tukaingia chocho, sijakaa sawa kainama kanisusia mzigo kwa nyuma. Simu ilikua kwenye mfuko wa suruali, Basi fasta nikafungua mkanda na zipu suruali ikashuka mpaka chini. Kumbe kipindi Mimi nasikilizia utamu mwenzangu akiwa ameinama anasachi suruali yangu. Baada ya kumaliza Sina hili Wala lile kumbe kachukua simu. Wakati wa kutoka akaniambia nitangulie yeye anakuja. Kufika Kigongo Tena naona mwenzangu hatokei. Kucheki mfukoni nakuta Nokia kitochi zile za mwanzo kabisa haipo mfukoni. Sikuhangaika kumtafuta.
 
Niliibiwa iPhone Xr kwnye daladala
Yani yule kaka mpaka leo sitakaa nimsahau maana nilikua nimekaa yeye amesimama
Njia nzima ameniegemea me mawazo yangu yote labla amebanwa maana daladala ilikua imejaa sio kawaida
Kumbe ndio alikua anasearch pochi me sijui
Wakat ameshuka ndo nasearch simu yangu siioni
Ilibidi nishukie njiani niwahi nyumbani nikalie vizuri…[emoji38][emoji24]
 
Saiv unatumia sim gani nijipange na mimi kukupungia mkono[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanzo I thought nilikua Kama naotaaa akili imekuja kurud badae sanaaaa yan ndo kugundua haikua ndoto at all, na nilimshikilia sanaa lakin alikua anasimamia point yake
Ilikuwa simu gani?nataka nikupe zawadi

Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
 
Kwenye gari..kkoo mbagala..natoka kkoo kununua makopo ya bidhaa zangu nakumbuka niliiweka mapajani na fuko la makopo pia ..nilikua nimevaa Dera mtandio nilikua nimeuweka pia mapajani Sasa sijui wakati nanyanyuka ikaslide kwenye mtandio..iliniuma s6edge kipindi kile zimeanza kushuka Bei nikajitoa na 570k yangu..haki naumia kila nikikumbuka
 
Dah, kweli tumeibiwa wengi...

Binafsi sikuibiwa, ila nliipeleka simu yangu kwa mwizi[emoji23].

Katika pitapita zangu mitaa flan jijini Dodoma kwa wagogo, nlikumbana na jamaa mmoja hv mitaa ya meriwa akanichangamkia as if ananifaham yan.

Na mimi nlivokuwa boya nkamuungisha, tukawa n kama tunajuana hv, stori zikaendaaaaa, baadae jamaa akafanya kuniaga. Baada ya kusogea hatua kadhaa akanirudia na kuomba mawasiliano yangu.

Nlimpa namba, akasev na mimi nikasev yake. Jion wakat napumzika nkaona nipitie status za tsap, nkakumbana na status zake kapost vibuyu, shanga, magamba ya viumbe wa bahari, mara uganga uganga ah!!!....

Sikutilia maanani kivile, mana hzo imani sikuwaga nazo ata. Baadae alinipigia sim akanieleza maujinga ujinga ya uganga, cjui anapandisha nyota, mara anaondoa mikosi, cjui mautajiri.... Nikamjibu kuwa mimi ni tajiri toka long sana, ko huduma zake hazitonifaa tena...

Baada ya siku kadhaa nlipost nguo nguo za kike znazopatikana golini kwangu. Akawa anahitaji dress flan hv kuwa ingemfaa mkewe, nkamwelekeza nnakopatikana lkn alihitaji nimpelekee alipo. Nkaona sio shida, siiachi hii 35000. Chap nkaruka kuelekea sehem aliponielekeza. Nikamkuta kakaa kama mtu alotoka kufukuzwa mahali[emoji23].
Nikampa bahasha naye akanipa cash nkasepa.

Baadae tukawa tunawasiliana kabisa... Baada ya mawasiliano ya mda, kuna ka wazo kakanijia kuwa nikatest huduma zake za kitabibu, huenda zina manufaa kwa biashara yangu[emoji23].

Nlimpigia simu, akanambia gengeni kwake kuna wabunge wanapata huduma mda ule, so nimtafute kesho yake[emoji23]. Nikaona enheeee, hapa kumbe na Tundu lissu anakuelewa...

Kesho mapemaaa, sikuwa hata na mood ya kwenda shop kabla cjapata huduma. Nlimwelekeza kile ninachohitaji, akanitajia mahitaji, cjui eti ubani+mishumaa 12 myekundu+jogoo mweupe+mazagazaga flan na ka kibox cha kufanyia yake.

Sikutaka kuhangaika kuvitafuta, nikampa 100k akavitafute yeye cjui wapi huko. Baadae alinicheki kuwa vimepatikana so niende akanipe dawa... Muda huo nlikuwa road nkaona niliunge hukohuko. Nlikuwa na begi dogo la mgongoni lilokuwa na PC, 210k, na saa ya mkononi.

Alinielekeza tukutane mahali anipokee tukafanye matambiko huko gengeni kwake... Sikupata shida nkafika pale njiapanda ya Morena hotel. Kama kawaida uchangamfu n kama wote, akanishika mkono ananipa kijikaratasi flan kakifungafunga hv, akanambia n kinga cjui ya macho ya watu cjui nn.... Nkaona ndo uganga ushaanza[emoji23].

Hapo sikumbuki kilichoendelea. Nlijikuta niko zangu kwenye uchochoro flan hv sina begi, sina simu na sina viatu wala kofia.

Kujisachi nlikuwa na 15k nlikuwa nmeibana mfuko wa shati... Nkanunua viatu, nkapanda boda kurudi geto nkajihakiki kwanza kama n real au n ndoto.

Mazee, ilikuwa n saa 7 mchana kweupe.

Until that day sikutaka tena stori na unkwowns.

Simu ilikuwa n Samsung S6 edge +. Kipind hcho ndo trending sokoni an... Nliumia sana.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]daa pole sanaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23] ulipatikana
 
Daaaah ubungo plaza near shelilangoo mwendokasiiii sita pasahau[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]
 
Poleeeh dada, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23] pole
 
Niliibiwa Mwenge mle ndani, wale wapuuzi wauza nguo ukifika wanakuzunguka huyu anakuonyesha hiki mwingine anakuonyesha kile ili mradi tafrani nikawatimua nikawaambia sihitaji vitu vyenu.Kumbe waliponizunguka kuna mmoja kafungua kibegi changu kapita na simu mimi sina habari. Nimetembea mbele kidogo kujigusa hivi kibegi kipo wazi kucheki simu hakuna pozi liliniisha. Wezi washenzi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…