Mazingira gani ya hatari uliwahi kufanya mapenzi?

Mazingira gani ya hatari uliwahi kufanya mapenzi?

Dah! Kama hatari mimi nilishawahi kuchezea sana na sijakoma.

Ifahamike kuwa ujana ni maji moto. Ki-ukwei sijui ni mara ngapi nimefanya mapenzi kwenye parking lots wakati wote maana yke usiku na mchana.
Nilishawahi kupata katoto alikuwa anaishi na mama yke. Siku moja kaniita kasema mama amelala juu. Mzee nikazama ndani. Nikampa mavitu,kidogo tu mama mtu kaamka kuja kukojoa,akawa anamtafuta.
Kusema ukweli binti wa watu alitaka kutapika moyo wake wote.
Kilichotokea ni kwamba nilikuwa pale pale living room kwasaabu kulikuwa na giza yule mama hakuniona halafu nikanyata jikoni kiana,otherwise ningeitwa mwizi au kipigo cha kufa mtu.
Nilishukuru Mungu sana kutoka hapo huo usiku mnene
 
Choo cha ukumbi wa harusi, choo cha club, darasani, mtoni, na sehemu nyingine nimesahau ila now nimezeeka niameacha huo ujinga, zaman kidogo ilikuwa kikinibana tu kipururu binti akikubali napiga mazingira yoyote mradi nione hamna uwepo wa binadamu.
 
Back
Top Bottom