Mazingira gani ya hatari uliwahi kufanya mapenzi?

Mazingira gani ya hatari uliwahi kufanya mapenzi?

Nakumbuka utotoni,kuna ile Mikesha kanisani Mambo ya chrissmass taa ya mafuta ikizima tumeshabambiana mapeeema.Hilo ndiyo ilikuwa hatarishi ya kwanza.Nyingine kubwa zaidi ni Nyumbani kwa Mchungaji binti aliniita mwenyewe njoo uangalie picha zangu za shule sijui boarding,nikapita naye ile namaliza Baba yake amerudi nikachukua Past paper za Boarding eti tunasolve lakini mzee alijua Pepo mchafu alipita kati yetu.Toka siku hiyo sikuwahi kufanya michezo hiyo.Mtu wa Mungu baada ya kukiri Makosa yangu
 
Napiga mashine ndani ya gari sehemu ya wazi siku... Police wa patrol wameizunguka gari yangu wakiwa wananigongea nifungue nikawa siwasikii kabisa, nimekuja kuwasikia fahamu zilipo rudi...... Daah! Sitakuja kusahau.
Simple, washa gari tembea[emoji276]
 
Mimi nilimugegeda demu juu ya baiskel kiti cha nyuma,nakumbuka huyo demu alikuwa mfupi sana sikuona ugumu wowote ule maana kama nilikuwa kwenye sita kwa sita.Nilivyokaribi kupizi tulidondoka chini ila dushe haikuchoka kunako maana ilikuwa imezama yote.Tuliumia sana magoti na shingo.
Hahaaa umenifanya nionekane hamnazo kwa kicheko
 
Nilikua natoka zangu Moro naenda mbeya,kwenye gari nilikaa siti moja na mchizi ye alitokea DSM, sasa kwa kuwa wote ni wageni maeneo hayo na baada ya stori za hapa na pale tukajikuta tumeenda lodge moja chumba kimoja kilichotokea kule yule jamaaa hadi leo ananiganda kama luba...duh ilikua hatari sana mechi zilizopigwa pale hadi ndomu zote zikaisha tulizokua tumechukua.mazingira hatarishi sana
 
Endelea kumpa mautamu tu
 
kipindi nipo chuo ilikuaga shambani nikatandika koti langu chini kwenye nyasi nikala mzigo ile kuondoka siafu wakaanza ningata kwenye msolopaganzi mbona nilikoma samahani sijakoma bado
Samahani..... Msolopaganzi ndo kitu gani
 
Nilipiga rafiki wa demu wangu kwenye gari wakati wangu kashuka kwenda kwenye atm mashine kulikuwa na kafoleni saa nne usiku nikarukia nyuma ya seat kimoja fasta nikafuta nikarudi kwenye steering alivyorudi eti hamjatongozana nyie kweli
 
Back
Top Bottom