Mazingira gani ya hatari uliwahi kufanya mapenzi?

Watu mna guts za hatari sana! Ila nadhani mwanamke akikuelewa vyema kwenye majambozi yuko ready popote na kwa gharama yoyote!
 
Kheee.....

Nakesha kukuombea uje ulete ushuhuda. Au hata kule kwingine unishuhudie mwenyewe.

Miss yo jirani

Hahaaa. Hata sina ushuhuda bana jirani [emoji85]

Miss u more jirani. Habari ya kuadimika?
 
Hahaaa. Hata sina ushuhuda bana jirani [emoji85]

Miss u more jirani. Habari ya kuadimika?
Njema kiasi. Kikubwa uzima upo!

Sasa jirani kweli unakosa ushuhuda? Hata kombolela hukuchezaga
 
Njema kiasi. Kikubwa uzima upo!

Sasa jirani kweli unakosa ushuhuda? Hata kombolela hukuchezaga
Ni jambo la kumshukuru Mwenyezi Mungu kama uzima upo jirani.

Makombolela tena jirani. Hahahaaaaa.

Nimefurahi kukuona tena jirani. [emoji120] [emoji120]
 
Ni jambo la kumshukuru Mwenyezi Mungu kama uzima upo jirani.

Makombolela tena jirani. Hahahaaaaa.

Nimefurahi kukuona tena jirani. [emoji120] [emoji120]
Yeah jirani...
Unaujua mchezo unaoitwa kombolela??? Jirani.

Thanks for your prayers
 
Msinikumbushe Tafadhari🙁 maana niliyowahi kufanya hadi nyumba ibada ni hatari sana😉 Mungu anisamehe tu, haya mambo ya Ubatizo na kipaimara ni shida sana...
+ mikutano ya vijana, eti kulala kanisani. Ingekuwa amri yangu mikutano ya viajana ya kidini ingepigwa marufuku tu.
 
Mi nakumbuka mwaka 2005 nikiwa chuo flani hivi sasa kuna demu wa rafiki yangu walikuwa wamekorofishana akawa amekuja usiku wa saa 2 kumtafuta msela,
Jamaa akajifanya hana muda wa kusikiliza demu wake na akanambia nimsindikize mtaani kwao maana aliogopa kurudi peke yake!
Ile tumevuka eneo la chuo mtaa wa pili kuna kanisa flani hivi la kirokole nikamwambia demu tukae kidogo tupumzike
Baada ya kukaa kidogo huku kunipa story kuhusu ugomvi wake na mshkaji nikaanza kumpapasa akalegea nikamkokota mpaka ndani ya shimo la kubatizia ambalo hakukuwa na maji hivyo nikamkunja humo na kumtafuna kimyakimya!
Nilipiga viwili fresh kisha nkampeleka kwao.
Baadae jamaa alimwoa huyo demu na mpaka leo huwa Jamaa hajui kama nilimtafunaga Shem na mpaka sasa huwa nikienda Dar nafikiaga Kwa huyo rafiki yangu na akienda kazini napiga kimoja fasta!
Yaani kamwe usimwamini mwanamke.
 
Shenzi kabisa wewe, nishakujua!! Ole wako ufikie tena kwangu, nimeumia sana rafiki mkia wa fisi wewe!!
 

Aiseee hii inasikitisha sana,

Ni sawa ulivyomtupoa wakati mpo chuo,


Ila kwa sasa unamkosea sana mwana kabisa unakosea sana sana tena mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…