Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Haha binamu una mapenzi ya dhati umenikumbusha shule ya msingi tulivyokuwa tunashikiana namba yaani mtu anayekushikia namba unakuwa unamthamini kuliko hata yule anayekusaidia masomomimi no 22 wewe binamu no yako 21.
sawa?