kanchibay
JF-Expert Member
- Jan 4, 2019
- 671
- 690
Nilitarajia utakuja kwa busara!!! Kumbe nawe mharajitu kama mabata,,, hivi ulihitaji tu comment kile ukiwazo/ukitakacho wewe!! Sasa unafikiri tuna mtazamo sawa nawewe!! Ulihitaji tukoment nini ili kukuridhisha!! Alaf tena?? Ili iweje!!Hao ni kama bata...wanafuata alietangulia....akihara na wanaofuata wanahara!
IQ=m.a/C.a x 100
So kaa kimya kama huwezi kureason maana naona umejitahidi kutoa kitu kinacho itwa *fallacy of relevance*
Sent using Jamii Forums mobile app