Mazingira gani ya hatari uliwahi kufanya mapenzi?

Hao ni kama bata...wanafuata alietangulia....akihara na wanaofuata wanahara!
Nilitarajia utakuja kwa busara!!! Kumbe nawe mharajitu kama mabata,,, hivi ulihitaji tu comment kile ukiwazo/ukitakacho wewe!! Sasa unafikiri tuna mtazamo sawa nawewe!! Ulihitaji tukoment nini ili kukuridhisha!! Alaf tena?? Ili iweje!!

IQ=m.a/C.a x 100

So kaa kimya kama huwezi kureason maana naona umejitahidi kutoa kitu kinacho itwa *fallacy of relevance*


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waliojibiwa hivyo wote wamepotezea ila wewe ndio kimekukereketa hadi makalioni! Ukichukulia maisha serious utakufa kabla ya siku zako. Wewe ni nani uniambie nikae kimya? Eff off!
 
Huu uzi nimeuona tangu jana nikausoma kidogo nikaona hizo harakati za kuzinguana zimeanza, sometimes sio mbaya watu kutaniana na kufurahi ila isiwe sana utani ukageuka kuwa tafsiri ya upumbavu.

Nimegundua kuna kitu hakipo sawa hasa kwenye hili jukwaa kwa waanzisha uzi na wale wachangiaji, wanaume na wanawake wote najipa muda kuna siku nitaleta uzi tujadili kati ya wanaume na wanawake wa humu ujinga kwa kiasi kikubwa umeegemea jinsia gani?
 
We ni nyooookro
Muda huo unakua kibogoyo


Traaaam sana

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 

Hii ulikuja kutimiza mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…