[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kuna post humu nilileta mrejesho mkuu,
Nlishamla tena mara 3, ila sasa hivi wamehamia mjini afu mmewe anamfuatilia sana, km mwezi hivi hatujakutana
Sent using Jamii Forums mobile app
Zilikua za K vant hizo mkuu[emoji23][emoji23]Nakumbuka bar maid flan mkaliii alikunywa bia zangu kibao lakini akawa anazingua kutoa mzigo, kama mwezi kila nkienda ile bar naitwa shem na wenzake japo mzigo sijala. Nkawa na hasira sana nae kinomq, nkakata mguu kama wiki2 siend ile bar, day1 napigiwa simu namba ngen kumbe yeye akadai kama vp niende pale job kwake ntaondoka nae baada ya saa za kazi
Nilitimba akaninunulia Kvant kubwa nikapiga had akaja geto moto alioupata ananikumbukaga hadi leo japo alishama dar karudi kwao Arusha. Hata mm sifahamu nguvu nlizitoa wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Shenzi kabisa wewe, nishakujua!! Ole wako ufikie tena kwangu, nimeumia sana rafiki mkia wa fisi wewe!!
Amegundua kuwa unamtomba make wake ama???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kuna post humu nilileta mrejesho mkuu,
Nlishamla tena mara 3, ila sasa hivi wamehamia mjini afu mmewe anamfuatilia sana, km mwezi hivi hatujakutana
Sent using Jamii Forums mobile app
Waliojibiwa hivyo wote wamepotezea ila wewe ndio kimekukereketa hadi makalioni! Ukichukulia maisha serious utakufa kabla ya siku zako. Wewe ni nani uniambie nikae kimya? Eff off!
Kwa mimi hapana, labda anahisi tu anachepuka lkn hajui na nani.Amegundua kuwa unamtomba make wake ama???
AiseeeeWe nae dume zime na manyoya mpaka mqunduni lakin unamihemko ya kike.
Upo serious jamaa anakutafunia?
Kiukweli mnastahili ban visa vinafundisha nyinyi mnaleta utoto tena wachekechea
Ha ha ha haaaMimi au nilichokiandika?
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
- KANA -
Nashukuru haikutokeaKiukweli mnastahili ban visa vinafundisha nyinyi mnaleta utoto tena wachekechea
Baada yakukimbia ulirudi au vipi?Mimi
Kwakuwa nimekulia kijijini sitosahau siku moja
Niliingia na demu wangu kichaka kimoja hivi mbaaali na Kijiji. Nakumbuka ilikuwa usiku wa saa mbili hivi. Ulikuwa usiku ambao mbalamwezi ilikuwa inawaka kwa kufifia hivi.
Baada ya kufika eneo la tukio binti alitandika kanga chini na kuanza kubonyezana bonyezana maeneo muhimu, , , Mara mzee baba nikaanza kudumbukiza ile Mambo..
Baada ya dakika chache,, nikasikia Kama kitu kimenidondokea mgongoni, kwakuwa utamu ulikolea nilihisi Kama kijiti flani the laini laini. Ila songi lilikatika baada ya kugundua kumbe aliyedondoka alikua ni NYOKA. duuuuuuh hiyo purukushani ilikuwa Ni zaidi ya muvi aisee.
Tulikimbia Kwanza na kuacha Kila kitu pale.
Jamani "kasumba hizi duh"
Sent using Jamii Forums mobile app