Damaso
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 3,978
- 6,739
Mahaba ni ya kifala sana [emoji16] Yaani ni ya kifala sana.. Mimi binafsi niliwahi kumtafuna mtoto wa mwenyekiti kwenye shamba la mahindi mida ya saa 2 asubuhi... Mtoto alivyotoka kuchota maji nikajitosa na Mimi mara baada ya kuwatelekeza mifugo kwanza... nikakipiga na bao zangu kadhaa... Ila cha ajabu ikawa ndo lodge yetu hiyo... mtoto alinogewa shoo ikawa akienda route za kisimani basi mifugo ya babu inakula break time huku Mjomba naenda kusafisha rungu....Namkumbuka mpaka leo kidemu Changu kinaitwa Rosemary!!!
Penzi la mashambani ni tamu Acha tu
Penzi la mashambani ni tamu Acha tu