Blessed Keinerugaba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 4,754
- 4,746
Dah! Kibali cha kuishi Tz tena? Kwamba wewe ni foreigner. Ungewapa cha NIDA.Cocobeach polis hawadaki tena raia hovyo! kuna siku nilishawah kudakwa na kuambiwa nioneshe kibali cha kuishi tz hadi leo sina hamu nako