Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Mi nliwahi fanya chini ya mparachichi alafu ulikua msimu wa parachichi na ilikua usiku kuna kaupepo asee yalikua yanadondoka alafu makubwa ka kichwa cha mtoto yani ile siku hata goli moja sijapiga nikaomba poo mechi iahirishwe