Don Vito
JF-Expert Member
- Jul 15, 2018
- 1,342
- 2,105
Ila Jkt watu wanapigana sana miti aiseeTulisemwa semwa kidogo akatukausha.
Ila sijui tulirudia mchezo wetu maana sikumbuki.Cha ajabu uraiani hatujawahi rudia huo mchezo.
Nikikumbuka nacheka tu [emoji1787]
Service na mujibu, mujibu kwa mujibu, afande na mujibu. Ni vurugu tuu