Mazingira ya Chato yanaathiri vipi utendaji kazi wa Mkuu?

Bado wili 2 , tuone anasemaje.

Lakini hili sio issue.. akizogeza mbele ajue muda anao sogeza tunakata kwenye ile.mitano inayo kuja.
Mimi ninachohisi inawezekana tunaandaliwa kisaikolojia uchaguzi usiwepo huu mwaka au kama utakuepo kampeni zikazuiiliwa kwa kigezo cha korona....huu mwaka mgumu kwa wapinzani kutokana na ubabe unaondelea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo spika anaougania nssf zake.. harudi bungeni nov 2020.
Sababu no 1,2,3,4,5 ni za msingi.Lakini hatujui kwa nini Raisi Magufuli yupo hapo kwa kipindi kirefu.

Haya majibu tungeyapata bungeni kama hao wabunge na spika wao wangetaka kutupa ubuyu.
 
Kwani sisi hatupokei Mikopo ya IMF. Eti mabeberu.. pumbavu.
Wananchi wakenya hawajalalamika.lolote. ni ubov wa.viongoz wa nchi yetu ambao hata vikao muhim kama hivyo hatuhudhurii.. hata kutuma mwakilishi basi.
Hata kagame anatuzi kweli?
No..

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hayati Baba wa Taifa aliwahi kusema, mtu huwezi kushauriwa na mkeo usiku halafu asubuhi uje Ikulu utoe maamuzi.
Kagame kashauriwa na mkewe unataka tukiite nacho kikao?
Hukumbuki Coalition of the Willing waliyoanzisha enzi za awamu ya 4? Ilisambaratika.
Watuache wabobezi wa Diplomasia bila Secretariat hakuna kikao! Ni kutimiza azma za mabeberu. Walivyoji lockdown waliitisha kikao?
 
Tanzania tukubali hapa hatuna Rais bali tuna KATUNI tu. Kinachotuongoza ni Mungu mwenyewe na utulivu wa Watanzania
 
Mkuu hoja yako nzuri, hata hivyo kabla ya kuangalia mazingira inatupasa kuangalia sababu kwanza. Je, kuna sababu za msingi yeye kukaa huko! Je, sheria na katiba zinasemaje, anaweza ishi popote pale anapenda yeye! Then kama kuna sababu ya msingi na katiba na sheria zinaruhusu ndipo tunaweza angalia je mazingira ni rafiki.

Hitimisho: Hata kama mazingira yangekuwa mazuri kama state house ya Marekani bado hana sababu n ya msingi kuishi huko. Isitoshe katina na sheria haziruhusu pia. Urudi kazini.
 
Hee.. na waziri wetu wa sheria kaapishwa kimakosa huko porini.
 
Mimi ninachohisi inawezekana tunaandaliwa kisaikolojia uchaguzi usiwepo huu mwaka au kama utakuepo kampeni zikazuiiliwa kwa kigezo cha korona....huu mwaka mgumu kwa wapinzani kutokana na ubabe unaondelea.

Sent using Jamii Forums mobile app
Inamaanisha uchaguzi utakuwepo isipokuwa kampeni hazitafanyika na bajeti yake itaelekezwa katika huduma za kijamii bila kusahau ventilator kila kata, barakoa na vitakasa kila kaya.
 
Mbona unahangaika kama kuku mtetea ?,taga sasa!
Fahamu kuna action man na blabla mens

Magufuli hakuzoea maneno kufurahisha wazungu ,hao wapoteza muda,hao ukimtoa Uhuru Kenyatta ,waliobakia ni marais wa maisha
Hoja yako ni kuhalalisha matumizi mabaya ya raslimali za nchi yetu?Hauoni kuwa kwa Mbaba kuwa kijijini kunaisababishia serikali hasara?Anapokea mshahara wakati analikizo ndefu,ameenda na timu ya watumishi mbalimbali ambao wanalipwa night allowances, anashindwa kufanya kazi zake kwa ufasaha lakini bado mnamsifia kwa ubadhirifu huo?Mnadiriki kuwanyooshea vidole viongozi wanaojali ustawi wa watu wao na kumlinganisha nao huyu wa kwetu?
Watanzania tumemkosea nini Mungu hadi tustahili adhabu ya kuwa na mtawala wa aina hii?
 
Mazingira mabovu sana Hila ndo ivyo corona haina baunsa

"Chausiku mupenzi haya yanayokusumbua kama ni maradhi , Yapeleke kwa daktari Mimi siko tiyari kuliacha rumba kwa ajili yako"
 
At least angekaa ata ikulu ya Mwanza

sijui itakuaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…