Mazingira ya Chato yanaathiri vipi utendaji kazi wa Mkuu?

Mazingira ya Chato yanaathiri vipi utendaji kazi wa Mkuu?

Maybe awam.tulizopita haswa ya jk.tulikuwa wataalam wa diplomasia.
But awam hii hiko kitu hatuna. Alikuwa nao tu marehem mhe.mahiga. wengine waliobaki hawana hata exposure ya nje. Sion mtu akifit ile nafas..

Sent using Jamii Forums mobile app
Naona hoja ya membe imekupumbaza kama ilivyowapumbaza wengi. Wengi wameshau kuwakipindi akiwa Mambo ya Nje, nchi yetu ilikuwa na migogoro karibia na kila jirani tuliyepakana naye. Ila kipindi hiki ambacho yeye anadai diplomasia imeshuka tuko na amani na kila jirani yetu. Hicho kipimo cha kushuka kwa diplomasia anachotumia ni kipi?
 
Hayati Baba wa Taifa aliwahi kusema, mtu huwezi kushauriwa na mkeo usiku halafu asubuhi uje Ikulu utoe maamuzi.
Kagame kashauriwa na mkewe unataka tukiite nacho kikao?
Hukumbuki Coalition of the Willing waliyoanzisha enzi za awamu ya 4? Ilisambaratika.
Watuache wabobezi wa Diplomasia bila Secretariat hakuna kikao! Ni kutimiza azma za mabeberu. Walivyoji lockdown waliitisha kikao?
From Dar,Dodoma,Chato to Burigi ameshauria na nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona hoja ya membe imekupumbaza kama ilivyowapumbaza wengi. Wengi wameshau kuwakipindi akiwa Mambo ya Nje, nchi yetu ilikuwa na migogoro karibia na kila jirani tuliyepakana naye. Ila kipindi hiki ambacho yeye anadai diplomasia imeshuka tuko na amani na kila jirani yetu. Hicho kipimo cha kushuka kwa diplomasia anachotumia ni kipi?
Who the fuk is membe? Anahusikaje hapa?
Mm nimeandika from my personal experience..
Hizo habari.za.membe sijawahi kuzisikia hata kidogo.

Yes mambo mengi nje yamedorora but do.we have a right candidate to fit the position?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais tulienae atatuvusha inatakiwa awe Rais wa maisha[emoji16]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]! Sijasikia tena ile lugha “aongezewe muda”, nadhani hata wenzake wameanza kuguna chinichini!!
 
Tufanye mabadiliko ya uongozi sasa la sivyo tutajuta baadaye.
 
Back
Top Bottom