Mazingira ya Chato yanaathiri vipi utendaji kazi wa Mkuu?

Tambua kwamba kuna presidential security service hao ndo wana majukumu ya kujua raisi akae wapi na kwa usalama na sio kusema chato si sehemu salama.
 
Kwa akili zako unadhani wao ndio wameamua akakae chato.

Kwa taarifa yako, ikulu ya dodoma ndio salama zaidi east africa.
Tambua kwamba kuna presidential security service hao ndo wana majukumu ya kujua raisi akae wapi na kwa usalama na sio kusema chato si sehemu salama.
 
Chapeni kazi, mimi nimejikarantini huku Chato na wale wabunge wa CHADEMA waliokacha bunge kwa kujikarantini nimemuagiza Ndugai warudishe posho zote walizochukua, mkifa wakati mnachapa kazi mtazikwa kama mashujaa wa nchi hii.
 
Labda Dodoma ila pale feri siyo salama kwa ugonjwa unaohisiwa kuenezwa kwa njia ya hewa. Hivyo tahadhari ya kukaa kijijini mbali na mikusanyiko ilikuwa sahihi.
 
Huko chato akiigua ghafla itakuaje?
Labda Dodoma ila pale feri siyo salama kwa ugonjwa unaohisiwa kuenezwa kwa njia ya hewa. Hivyo tahadhari ya kukaa kijijini mbali na mikusanyiko ilikuwa sahihi.
 
Hao.mabeberu mnaowasingizia matizo yenu mbona bado.mnawaomba mikopo?
Na wengine wapo.nchini wakija na pesa basi mnawaita wawekezaji.
Kama vip kataeni kila.kitu cha hao mnawaita mabeberu.

Pili kagame ana timu ya ushauri nzuri tu. Tena uzuri mmoja wote ni former military na intelligence. Wana faham nn wanafanya kwa rwanda.
Hizo.siasa za majitaka eti anashauriwa na mke wake una uhakika huo?
Mbona serikal imeteua team maalum ya ushauri wa rais.. unadhani ni wajinga.

Maybe awam.tulizopita haswa ya jk.tulikuwa wataalam wa diplomasia.
But awam hii hiko kitu hatuna. Alikuwa nao tu marehem mhe.mahiga. wengine waliobaki hawana hata exposure ya nje. Sion mtu akifit ile nafas..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…