Una tatzo lakuchambua Mambo ungesoma kwa makini sidhan Kama ungeandika ujinga huu, hujaelewa alichomaanisha mwandishi!! Jifunze kusoma mara kadhaa acha kuendeshwa na mihemkoKuvaa mask napo imekuwa taarifa?
Hahaha @Elunga. Najua ila kwa UTARATIBU si kuzikwa na serikali na watu wasiozidi 10? Huo mwili umeandaliwaje kitaalam usilete madhara kwa hao makasisi? Hawatafukiza ubani na kurusha maji ya Baraka jirani na jeneza? Wabebaji jeneza ni kina nani? Haya bwana.Lakini huyo alikuwa na nyadhifa kubwa,,halafu Ni kada wetu yule ujue...
Members,Hivi kuna ugumu gani wakaamua kufunga haya makanisa
Leo wameaga mwili ukiwa haujafunuliwa ndani ya sanduku,kwanini msiruhusu na wanyonge wakaaga ndugu zao
Watawala wanaruhusiwa kuaga ndugu zao bila kufungua sanduku ila wanyonge wao wanalalamika kuwa hawapewi muda wa kuaga ndugu zao
Picha mapadri wakisoma misa ya kuaga mwili wa Augustine Mahiga Iringa
Ingekuwa ni wanyonge usitegemee misa kama hii
Ukiondoa mawaziri,Majaji na wabunge wengine wote mnaitwa wanyonge
Wakuu wa wilaya na Mikoa wote ni kundi la wanyonge kumbuka yule mkuu wa mtwara View attachment 1437426
Kuna vitu kavifanya kwa mke wake, ndugu na watotoSasa ww maskini umefanya nini kwa nani?? Ila yeye huyo alikuwa anawatumikia maskini haohao kwa makundi yao...
Sent using Jamii Forums mobile app
Haswa umenena kiongozi. Barikiwa mno. Maana alizikwa na serikali na wakivalia rasmi kwa shughuli Ile. Sijajua kama hata ibada ya misa ilifanyika.Sasa kwanini yule mkuu wa wilaya Mtwara walimzika kwa namna ile?
Nani aliyetoa yale maelekezo?
Mbona nae kwa cheo chake alistahili heshima kama siku hizi kuzika mwili wa mtu tunaangalia status yake kwenye jamii kwanza, that was not fair.
Sent using Jamii Forums mobile app
Corona sio vita ni ugonjwa unaohitaji tafiti na tibaTuko ktk vita na Virus vya Corona, acha siasa za majitaka, unajua vita au sbb unaweza kuandika humu unatoa useless idea
Ameandika nini cha maana ambacho sijakielewa.Zaidi upuuzi tu. Kwani watu wengine wanaofiwa sasa hivi hawaruhusiwi kuzika ndugu zao na kuzingatia kujilinda na hili janga. Acha ubwege wa kukariri.Una tatzo lakuchambua Mambo ungesoma kwa makini sidhan Kama ungeandika ujinga huu, hujaelewa alichomaanisha mwandishi!! Jifunze kusoma mara kadhaa acha kuendeshwa na mihemko
utopian socialism 🙌Jifunze kutafakari juu ya unachojibu, acha kukurupuka tumia akili, read between lines utaelewa. Usiwe utopian
Akili fupi sanaAmeandika nini cha maana ambacho sijakielewa.Zaidi upuuzi tu. Kwani watu wengine wanaofiwa sasa hivi hawaruhusiwi kuzika ndugu zao na kuzingatia kujilinda na hili janga. Acha ubwege wa kukariri.
Zama za ujimautopian socialism 🙌
Bwashee wewe humuamini DC Kasesela?!Hapo kwenye michango ndipo ccm huwa hawaaminiani hata wao kwa wao.
Pumzika kwa Amani Balozi Mahiga.
Alikuambia nani?Halafu jamaa si ana watoto wawili tu?
Mtoto mgonjwa amwachie Nani nchi ya watu?Mmmmh kweli huyu mama kashindwa kuja kumzika mme wake ,ni kabila gani huyu mama