Mazishi ya Dkt. Augustine Philip Mahiga kijijini kwake Tosamaganga mkoani Iringa. Mkewe ashindwa kuhudhuria baada ya kuwa Kenya akiuguza mtoto

Mmmmh kweli huyu mama kashindwa kuja kumzika mme wake ,ni kabila gani huyu mama
Yupi muhimu kati ya mumewe ambaye ni mwili au mwanae ambaye ni mwili hai?

Acheni lawama nyie watanzania weusi. Angekuwepo mngesema anakomaa kuzika mumewe ile hali mtoto yupo mwenyewe Nairobi.

Na suala la kabila na msiba lina uhusiano gani unataka uoe mtoto wake au uolewe na kijana wake.
 
Watanzania ni watu wa kulalamika bila sababu Ndio maana Magufuli anafanya kazi bila papara
Yupi muhimu kati ya mumewe ambaye ni mwili au mwanae ambaye ni mwili hai?

Acheni lawama nyie watanzania weusi. Angekuwepo mngesema anakomaa kuzika mumewe ile hali mtoto yupo mwenyewe Nairobi.

Na suala la kabila na msiba lina uhusiano gani unataka uoe mtoto wake au uolewe na kijana wake.
 
Alikuwa bado anandoa au walitengana?? Inakuwaje ameshindwa kuja???

Mtoto yupi abayeunwa? Mbona walikuwepo waili pale.

Anyway wajuvi wa mambo watatupa taarifa

komesha korona
 
Aliyekuwa waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Mahiga amezikwa leo kijijini kwake Tosamaganga mkoani Iringa.

Serikali iliwakilishwa na makamu wa Rais mama Samia Suluhu ambaye aliuelezea wasifu wa Balozi.

Bunge liliwakilishwa na Naibu Spika Dr Tulia Ackson ambaye baada ya kumuelezea Dr Mahiga alisema amekuja na rambirambi za wabunge lakini watazikabidhi kwa mke wa marehemu pindi atakaporejea kutoka Nairobi Kenya anakouguza mtoto.

Hata hivyo mwisho wa shughuli za mazishi Waziri wa Ardhi mh Lukuvi aliagiza DC Kasesela wa Iringa Mjini akabidhiwe michango yote ya rambirambi hadi aitunze hadi atakapopewa maelekezo rasmi na familia.

Chanzo: ITV!
Pumuzika kwa amani Dk. Mahiga. Bwana akulaze mahala pema peponi. Amina.
 
Yupi muhimu kati ya mumewe ambaye ni mwili au mwanae ambaye ni mwili hai?

Acheni lawama nyie watanzania weusi. Angekuwepo mngesema anakomaa kuzika mumewe ile hali mtoto yupo mwenyewe Nairobi.

Na suala la kabila na msiba lina uhusiano gani unataka uoe mtoto wake au uolewe na kijana wake.
Hamna excuse yeyote ya kukubalika eti uache kuja kumzika mmeo kwani hamna ndugu wa kumuachia mtoto na hapo hospital kwani yeye ni Dr? Yeye si anamuangalia tu ila manesi na ma Dr ndo wanaomtibu isitoshe yule ni mtoto wa mkubwa lazma yuko first class huduma zote anapewa,yeye asingeshindwa kupanda ndege fasta after mazishi arudi Nairobi, angekuwa usukumani huyo angepigwa masumule au "Nchenya"
 
Kuna namna hapo...
Anyway.. Hayatuhusu.

Ya familia hayo.

Ila kama ni matatizo ya ndoa ndo yamepelekea Mke kutokuja basi kiboko..
 
Hamna excuse yeyote ya kukubalika eti uache kuja kumzika mmeo kwani hamna ndugu wa kumuachia mtoto na hapo hospital kwani yeye ni Dr? Yeye si anamuangalia tu ila manesi na ma Dr ndo wanaomtibu isitoshe yule ni mtoto wa mkubwa lazma yuko first class huduma zote anapewa,yeye asingeshindwa kupanda ndege fasta after mazishi arudi Nairobi, angekuwa usukumani huyo angepigwa masumule au "Nchenya"
Uwepo wa mkewe ungeongeza nini hapo Tosamaganga?

Halafu suala la kuzika mtu ujue ni suala hiari ndiyo maana unaona Rais hajaenda kwenye msiba wa jaji wala waziri wake.

Ili mtu azikwe azikike lazima azikwe na mkewe au mmewe?
 
Hamna excuse yeyote ya kukubalika eti uache kuja kumzika mmeo kwani hamna ndugu wa kumuachia mtoto na hapo hospital kwani yeye ni Dr? Yeye si anamuangalia tu ila manesi na ma Dr ndo wanaomtibu isitoshe yule ni mtoto wa mkubwa lazma yuko first class huduma zote anapewa,yeye asingeshindwa kupanda ndege fasta after mazishi arudi Nairobi, angekuwa usukumani huyo angepigwa masumule au "Nchenya"
Hoja ya kuuguza hata mimi siwezi ielewa...
Labda waseme lockdown bcoz of CORONA..
 
Hamna excuse yeyote ya kukubalika eti uache kuja kumzika mmeo kwani hamna ndugu wa kumuachia mtoto na hapo hospital kwani yeye ni Dr? Yeye si anamuangalia tu ila manesi na ma Dr ndo wanaomtibu isitoshe yule ni mtoto wa mkubwa lazma yuko first class huduma zote anapewa,yeye asingeshindwa kupanda ndege fasta after mazishi arudi Nairobi, angekuwa usukumani huyo angepigwa masumule au "Nchenya"
Muacheni mama wa watu amuuguze mtoto wake. Jiwe alivyomdhalilisha hadharani mbele ya trafiki na umma Unadhani atatoa wapi karej ya kuja kujumuika na wajumbe wake. Hadi le hajaombwa msamaha
 
Hamna excuse yeyote ya kukubalika eti uache kuja kumzika mmeo kwani hamna ndugu wa kumuachia mtoto na hapo hospital kwani yeye ni Dr? Yeye si anamuangalia tu ila manesi na ma Dr ndo wanaomtibu isitoshe yule ni mtoto wa mkubwa lazma yuko first class huduma zote anapewa,yeye asingeshindwa kupanda ndege fasta after mazishi arudi Nairobi, angekuwa usukumani huyo angepigwa masumule au "Nchenya"
Atasafiri vipi wakati njia zimefungwa? Hakuna ndege ya kimataifa inatua nchini.
 
Hii hoja inamake sense.

Ila bado.. Kuna Namnaar..!
Msiba umetokea jana asubuhi. Sidhani kama mkewe alikuwa na maandalizi ya huo msiba. Alienda pekee yake na mgonjwa kwa mfano basi asingeweza kuondoka bila kuacha mwangalizi wa mwanae.

Tusilaumu kutokuwepo kwake ila asingeweza kutoka jana Nairobi kwa gari kuja kuzika akawahi mazishi.
 
Back
Top Bottom