Daktari wa Meno
JF-Expert Member
- Sep 5, 2019
- 509
- 1,610
Yupi muhimu kati ya mumewe ambaye ni mwili au mwanae ambaye ni mwili hai?Mmmmh kweli huyu mama kashindwa kuja kumzika mme wake ,ni kabila gani huyu mama
Huyo ndiyo kabisaa mtoto wa mjiniBwashee wewe humuamini DC Kasesela?!
Wana chembechembe za Steve Nyerere [emoji1787][emoji1787]Hapo kwenye michango ndipo ccm huwa hawaaminiani hata wao kwa wao.
Pumzika kwa Amani Balozi Mahiga.
Yupi muhimu kati ya mumewe ambaye ni mwili au mwanae ambaye ni mwili hai?
Acheni lawama nyie watanzania weusi. Angekuwepo mngesema anakomaa kuzika mumewe ile hali mtoto yupo mwenyewe Nairobi.
Na suala la kabila na msiba lina uhusiano gani unataka uoe mtoto wake au uolewe na kijana wake.
HAlikuambia nani?
Pumuzika kwa amani Dk. Mahiga. Bwana akulaze mahala pema peponi. Amina.Aliyekuwa waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Mahiga amezikwa leo kijijini kwake Tosamaganga mkoani Iringa.
Serikali iliwakilishwa na makamu wa Rais mama Samia Suluhu ambaye aliuelezea wasifu wa Balozi.
Bunge liliwakilishwa na Naibu Spika Dr Tulia Ackson ambaye baada ya kumuelezea Dr Mahiga alisema amekuja na rambirambi za wabunge lakini watazikabidhi kwa mke wa marehemu pindi atakaporejea kutoka Nairobi Kenya anakouguza mtoto.
Hata hivyo mwisho wa shughuli za mazishi Waziri wa Ardhi mh Lukuvi aliagiza DC Kasesela wa Iringa Mjini akabidhiwe michango yote ya rambirambi hadi aitunze hadi atakapopewa maelekezo rasmi na familia.
Chanzo: ITV!
Mmmmh kweli huyu mama kashindwa kuja kumzika mme wake ,ni kabila gani huyu mama
Hamna excuse yeyote ya kukubalika eti uache kuja kumzika mmeo kwani hamna ndugu wa kumuachia mtoto na hapo hospital kwani yeye ni Dr? Yeye si anamuangalia tu ila manesi na ma Dr ndo wanaomtibu isitoshe yule ni mtoto wa mkubwa lazma yuko first class huduma zote anapewa,yeye asingeshindwa kupanda ndege fasta after mazishi arudi Nairobi, angekuwa usukumani huyo angepigwa masumule au "Nchenya"Yupi muhimu kati ya mumewe ambaye ni mwili au mwanae ambaye ni mwili hai?
Acheni lawama nyie watanzania weusi. Angekuwepo mngesema anakomaa kuzika mumewe ile hali mtoto yupo mwenyewe Nairobi.
Na suala la kabila na msiba lina uhusiano gani unataka uoe mtoto wake au uolewe na kijana wake.
Uwepo wa mkewe ungeongeza nini hapo Tosamaganga?Hamna excuse yeyote ya kukubalika eti uache kuja kumzika mmeo kwani hamna ndugu wa kumuachia mtoto na hapo hospital kwani yeye ni Dr? Yeye si anamuangalia tu ila manesi na ma Dr ndo wanaomtibu isitoshe yule ni mtoto wa mkubwa lazma yuko first class huduma zote anapewa,yeye asingeshindwa kupanda ndege fasta after mazishi arudi Nairobi, angekuwa usukumani huyo angepigwa masumule au "Nchenya"
Kumbuka hakuna ndege za international. MipKa imefungwaMmmmh kweli huyu mama kashindwa kuja kumzika mme wake ,ni kabila gani huyu mama
Hoja ya kuuguza hata mimi siwezi ielewa...Hamna excuse yeyote ya kukubalika eti uache kuja kumzika mmeo kwani hamna ndugu wa kumuachia mtoto na hapo hospital kwani yeye ni Dr? Yeye si anamuangalia tu ila manesi na ma Dr ndo wanaomtibu isitoshe yule ni mtoto wa mkubwa lazma yuko first class huduma zote anapewa,yeye asingeshindwa kupanda ndege fasta after mazishi arudi Nairobi, angekuwa usukumani huyo angepigwa masumule au "Nchenya"
Muacheni mama wa watu amuuguze mtoto wake. Jiwe alivyomdhalilisha hadharani mbele ya trafiki na umma Unadhani atatoa wapi karej ya kuja kujumuika na wajumbe wake. Hadi le hajaombwa msamahaHamna excuse yeyote ya kukubalika eti uache kuja kumzika mmeo kwani hamna ndugu wa kumuachia mtoto na hapo hospital kwani yeye ni Dr? Yeye si anamuangalia tu ila manesi na ma Dr ndo wanaomtibu isitoshe yule ni mtoto wa mkubwa lazma yuko first class huduma zote anapewa,yeye asingeshindwa kupanda ndege fasta after mazishi arudi Nairobi, angekuwa usukumani huyo angepigwa masumule au "Nchenya"
Atasafiri vipi wakati njia zimefungwa? Hakuna ndege ya kimataifa inatua nchini.Hamna excuse yeyote ya kukubalika eti uache kuja kumzika mmeo kwani hamna ndugu wa kumuachia mtoto na hapo hospital kwani yeye ni Dr? Yeye si anamuangalia tu ila manesi na ma Dr ndo wanaomtibu isitoshe yule ni mtoto wa mkubwa lazma yuko first class huduma zote anapewa,yeye asingeshindwa kupanda ndege fasta after mazishi arudi Nairobi, angekuwa usukumani huyo angepigwa masumule au "Nchenya"
Hii hoja inamake sense.Kumbuka hakuna ndege za international. MipKa imefungwa
Yawezekana ni shida ya kutoka Kenya na kurudi tena Kenya. Kumbukeni, ndege za abiria haziruki wala kutuaKuna namna hapo...
Anyway.. Hayatuhusu.
Ya familia hayo.
Ila kama ni matatizo ya ndoa ndo yamepelekea Mke kutokuja basi kiboko..
Msiba umetokea jana asubuhi. Sidhani kama mkewe alikuwa na maandalizi ya huo msiba. Alienda pekee yake na mgonjwa kwa mfano basi asingeweza kuondoka bila kuacha mwangalizi wa mwanae.Hii hoja inamake sense.
Ila bado.. Kuna Namnaar..!