Kweli mbona ni maumivu makubwa? Jamani dahJamani msilolijua nyamazeni. Mama Mahiga mwanawe ni mgonjwa sana, kitu kilichopelekea mama kuitwa aende kumuuguza. Alipofika Nairobi kuna karantini ya siku 14! Bado hajamaliza hata hiyo karantini mumewe anafariki ghafla, mwanawe yuko taabani. Ombeni yasiwakute. Huyu mama anapitia kipindi kigumu sana. Watoto wake wengine wawili (wa ndoa) mmoja yuko Switzerland mwingine yuko Marekani! Hamuujui uchungu wake, nyamazeni muombe Mungu Awaepushe yasije kuwapata hayo!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata ukitaarifiwa kuna utaratibu wa kuzikana usiku?Wewe una ndugu yako kafa akazikwa usiku kimya kimya bila kutaarifiwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Inasikitisha tu hata huyo mke wake hakuna anyejua jina lake hapa JF...
Hata watoto tu basi..!!?
The Gods are many... Yani ya Mungu Mengi.
Mzazi mwenzie kati ya watoto watano wa Janet,wale wawili wa mwisho ni wa mzee Mahiga. Modesta na Andrew.R.I.P Dr. Mahiga! Hivi alikuwa na uhusiano gani na Janeth Mbene naibu waziri wa fedha wa zamani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbuka hakuna ndege za international. MipKa imefungwa
Yawezekana ni shida ya kutoka Kenya na kurudi tena Kenya. Kumbukeni, ndege za abiria haziruki wala kutua
Sent using Jamii Forums mobile app
Mh Janeth mbeneNingependa fahamu kabila lake pia.
Hayo ndiyo matunda ya kufedhehesha mke wa ujana wako I.e wa ndoa aliyekufikisha ulipo. Unafunua vyupi weee sasa uzee ukiingia huna pa kukamata. Imagine alizaa na yule mama machachari mbunge wa huko mbeya ambaye alishakuwa waziri. Watoto wakubwa sasa na binti mnayemuona alifunga ndia ndiye wa huyo mama Mh. J mtata. Wanawe wote wawili wako Marekani na Lockdown hawataweza kufika i.e binti na kaka yake. Wanaume tujifunze kupitia huu msiba. Yawezekana hata hiyo uguza mtoto Kenya ni fix tu maana huyo mke wa ndoa hana mtoto mdogo. Labda kama huyo mtoto hajaoa au kuolewa maana ni watu wazima. Kuna namna kubwa hapo. Wazee wa vicheche tujitafakari upya.Hata wanae aliowazaa na yule mbunge aliyekuwa naibu waziri fedha sijawaona. R.I.P Baba. Hivyo Dodoma alikuwa peke yake. Maisha haya bwana waziri kabisa anakufa akiwa mpweke Dodoma. Too sad.
Hawa wazazi wetu nilichogundua wanapofikia age kubwa huwa na tabia za ukali/ukorofi/kutosikia,nkHata wanae aliowazaa na yule mbunge aliyekuwa naibu waziri fedha sijawaona. R.I.P Baba. Hivyo Dodoma alikuwa peke yake. Maisha haya bwana waziri kabisa anakufa akiwa mpweke Dodoma. Too sad.
Janet Mbene siyo mke wa ndoa. Huyu ni side dish alizaa naye watoto wawili au watatu kama sikosei. Wawili mmoja binti na kaka wako Marekani ambao ni wa Janeth. Vipi Janet msibani kaonekana? 😅😅😅😅😅Mh Janeth mbene
Na wote wawili wako USA, Modesta Mahiga Mbugumi na AndrewMzazi mwenzie kati ya watoto watano wa Janet,wale wawili wa mwisho ni wa mzee Mahiga. Modesta na Andrew.
Sio mke,alikuwa mchepuko wake tu.
Wabongo uwajui, wanatoa taarifa utafikiri wanamjua zaidi.Jamani msilolijua nyamazeni. Mama Mahiga mwanawe ni mgonjwa sana, kitu kilichopelekea mama kuitwa aende kumuuguza. Alipofika Nairobi kuna karantini ya siku 14! Bado hajamaliza hata hiyo karantini mumewe anafariki ghafla, mwanawe yuko taabani. Ombeni yasiwakute. Huyu mama anapitia kipindi kigumu sana. Watoto wake wengine wawili (wa ndoa) mmoja yuko Switzerland mwingine yuko Marekani! Hamuujui uchungu wake, nyamazeni muombe Mungu Awaepushe yasije kuwapata hayo!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ww maskini umefanya nini kwa nani?? Ila yeye huyo alikuwa anawatumikia maskini haohao kwa makundi yao...
Inapigwa nylon na jeneza halifungiliwi, hapo Corona hafurukuti!Hivi maiti akiwa kwenye jeneza anaweza kumwambukiza mtu korona bila kumgüsa?
Wamarekani wanasema "Deep Sixed"Six Feet Under / Futi Sita
Huu ni msemo na origin yake ni as follows:-
It all started with the plague: The origins of “six feet under” come from a 1665 outbreak in England. As the disease swept the country, the mayor of London literally laid down the law about how to deal with the bodies to avoid further infections.
Tunaweza pata picha hiyo ya Lady nanny Janeth.....!Mkewe sio mh Janet Mbene?
Nakubaliana nawewe kwa uzito was ile familia gvt ingemkodia ndege hata familia isingeshindwa kukodi ndege kea pesa binafsi kitendo Cha kutokuja mke kimezua maswaliHamna excuse yeyote ya kukubalika eti uache kuja kumzika mmeo kwani hamna ndugu wa kumuachia mtoto na hapo hospital kwani yeye ni Dr? Yeye si anamuangalia tu ila manesi na ma Dr ndo wanaomtibu isitoshe yule ni mtoto wa mkubwa lazma yuko first class huduma zote anapewa,yeye asingeshindwa kupanda ndege fasta after mazishi arudi Nairobi, angekuwa usukumani huyo angepigwa masumule au "Nchenya"
Hatari sana.