Mazishi ya Dkt. Augustine Philip Mahiga kijijini kwake Tosamaganga mkoani Iringa. Mkewe ashindwa kuhudhuria baada ya kuwa Kenya akiuguza mtoto

Mazishi ya Dkt. Augustine Philip Mahiga kijijini kwake Tosamaganga mkoani Iringa. Mkewe ashindwa kuhudhuria baada ya kuwa Kenya akiuguza mtoto

Jamani msilolijua nyamazeni. Mama Mahiga mwanawe ni mgonjwa sana, kitu kilichopelekea mama kuitwa aende kumuuguza. Alipofika Nairobi kuna karantini ya siku 14! Bado hajamaliza hata hiyo karantini mumewe anafariki ghafla, mwanawe yuko taabani. Ombeni yasiwakute. Huyu mama anapitia kipindi kigumu sana. Watoto wake wengine wawili (wa ndoa) mmoja yuko Switzerland mwingine yuko Marekani! Hamuujui uchungu wake, nyamazeni muombe Mungu Awaepushe yasije kuwapata hayo!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli mbona ni maumivu makubwa? Jamani dah
 
Hata wanae aliowazaa na yule mbunge aliyekuwa naibu waziri fedha sijawaona. R.I.P Baba. Hivyo Dodoma alikuwa peke yake. Maisha haya bwana waziri kabisa anakufa akiwa mpweke Dodoma. Too sad.
Hayo ndiyo matunda ya kufedhehesha mke wa ujana wako I.e wa ndoa aliyekufikisha ulipo. Unafunua vyupi weee sasa uzee ukiingia huna pa kukamata. Imagine alizaa na yule mama machachari mbunge wa huko mbeya ambaye alishakuwa waziri. Watoto wakubwa sasa na binti mnayemuona alifunga ndia ndiye wa huyo mama Mh. J mtata. Wanawe wote wawili wako Marekani na Lockdown hawataweza kufika i.e binti na kaka yake. Wanaume tujifunze kupitia huu msiba. Yawezekana hata hiyo uguza mtoto Kenya ni fix tu maana huyo mke wa ndoa hana mtoto mdogo. Labda kama huyo mtoto hajaoa au kuolewa maana ni watu wazima. Kuna namna kubwa hapo. Wazee wa vicheche tujitafakari upya.
 
Hata wanae aliowazaa na yule mbunge aliyekuwa naibu waziri fedha sijawaona. R.I.P Baba. Hivyo Dodoma alikuwa peke yake. Maisha haya bwana waziri kabisa anakufa akiwa mpweke Dodoma. Too sad.
Hawa wazazi wetu nilichogundua wanapofikia age kubwa huwa na tabia za ukali/ukorofi/kutosikia,nk

lakini hii ni nature ya binadamu wote kama inavyokua mtoto akiwa mdogo kuwa mtundu/mkorofi/kutosikia nk

sasa inapofikia age hiyo watu wanaokuzunguka wasipoweza elewa kuwa "si wewe" ila ni umri ndio sababu

hupelekea watu kuku kimbia nakukuacha mpweke, na saa zingine mtu anagombana na watu wengi sana

katika umri huu,na kwa jinsi nimjuavyo BABA "mahiga" ana asili ya ukali ukali/ukoloni flani ukiplus na age yake

asee kukaa nae karibu kwa siku 1 tu lazima uione nyumba imepakwa pili pili,Walichomfanyia si vyema

japo siwezi jua sababu ila naamini hamna lisilo na sababu,Yote kwa Yote apumzike kwa amani our Dad.
 
Jamani msilolijua nyamazeni. Mama Mahiga mwanawe ni mgonjwa sana, kitu kilichopelekea mama kuitwa aende kumuuguza. Alipofika Nairobi kuna karantini ya siku 14! Bado hajamaliza hata hiyo karantini mumewe anafariki ghafla, mwanawe yuko taabani. Ombeni yasiwakute. Huyu mama anapitia kipindi kigumu sana. Watoto wake wengine wawili (wa ndoa) mmoja yuko Switzerland mwingine yuko Marekani! Hamuujui uchungu wake, nyamazeni muombe Mungu Awaepushe yasije kuwapata hayo!

Sent using Jamii Forums mobile app
Wabongo uwajui, wanatoa taarifa utafikiri wanamjua zaidi.
 
Sasa ww maskini umefanya nini kwa nani?? Ila yeye huyo alikuwa anawatumikia maskini haohao kwa makundi yao...

Mbona amezikwa kawaida sana na kiserikali kwa hadhi yake alokuwa nayo.

Ulitaka iweje?
 
Six Feet Under / Futi Sita

Huu ni msemo na origin yake ni as follows:-

It all started with the plague: The origins of “six feet undercome from a 1665 outbreak in England. As the disease swept the country, the mayor of London literally laid down the law about how to deal with the bodies to avoid further infections.
Wamarekani wanasema "Deep Sixed"
 
Hamna excuse yeyote ya kukubalika eti uache kuja kumzika mmeo kwani hamna ndugu wa kumuachia mtoto na hapo hospital kwani yeye ni Dr? Yeye si anamuangalia tu ila manesi na ma Dr ndo wanaomtibu isitoshe yule ni mtoto wa mkubwa lazma yuko first class huduma zote anapewa,yeye asingeshindwa kupanda ndege fasta after mazishi arudi Nairobi, angekuwa usukumani huyo angepigwa masumule au "Nchenya"
Nakubaliana nawewe kwa uzito was ile familia gvt ingemkodia ndege hata familia isingeshindwa kukodi ndege kea pesa binafsi kitendo Cha kutokuja mke kimezua maswali
 
Back
Top Bottom