Wengi wetu wamefanyiwa mazishi wangali hai. Wapo hai lakini kiroho wamezikwa na wanateseka sana. Unapozikwa hai kishirikina unapoozwa na kufifishwa nyota yako. Unapozikwa hai kishikirina kinga zako za kiroho zinapungua nguvu hivyo hakuna rangi utaacha kuona.
Vitu vyenye vinasaba nawe ni muhimu sana kuvitunza na kuvilinda.. Vitu kama nguo hasa za ndani, kuchwa zako, nywele zako zozote, damu yako, picha yako nk. Imethibitika hata kwenye sayansi ya macho kuwa chochote unachogusa unaacha alama yako hapo, alama za vidole ama kinasaba chochote.. Watu waliosoma forensic wanalijua hili vema.
Hivyo basi hata kwenye ushirikina huwa wanatumia kitu chenye kinasaba nawe kukutengeneza. Sasa basi katika vyote hivyo picha ndio huwa rahisi kupatikana kwakuwa ni ngumu kumtaimu mtu mpaka umkate kucha yake au umnyoe nywele zake, ama umtaimu