Mazishi ya mtu hai kishirikina

Mazishi ya mtu hai kishirikina

Mimi naona hafanikiwi hatoboi Maisha na miaka mingi Sana kaja dsm 2008-2022 but he still live Maisha ya kuunga unga unga Sana nahis kazikwa kichawi na watu wabaya Mkuu
Ajaribu kutumia tiba ya chumvi kwanza nonstop kwa siku 30 ..
 
Eti nimeambiwa huko kwenu waganga wa kienyeji wanaaminika zaidi kuliko watumishi wa Mungu, na masharti ya waganga yanazingatiwa sana kuliko neno la Mungu, je kuna ukweli wowote katika hilo au mnasingiziwa mambo ya kweli?
 
Unafundisha upumbavu kabisaaaaa yapo mambo ya msingi yakuzungumza watu wakabalika
Asili ya binaadamu akiamua kukuchukia hata umteendee Jema kias gani hataitaji Amani wala wemaa wowote kwako
Watu wangapi wameumizwa licha ya wema wanaowatendea binaadamu wenzao na kulipwa mabaya
Then unasema ishi vzur na watu kwamba nikinga ya watu wasifanye ubaya
Then unafundisha watu ubaya arafu wewe mwenyewe tena unawaambia tusifanye
Ukitaka kufanya fanya iv sijui iviii
UPUMBAVU KABISA.
Umeelewa kweli kilichoandikwa au umekija na makasiriko yako kupuyanga uku.Wewe unaona kuna ubaya gani kuambiwa uwe binadamu mwema.au wewe ndo aina ya watu wanaozungumziwa hapa.pumbavu mkubwa wewe.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Umeelewa kweli kilichoandikwa au umekija na makasiriko yako kupuyanga uku.Wewe unaona kuna ubaya gani kuambiwa uwe binadamu mwema.au wewe ndo aina ya watu wanaozungumziwa hapa.pumbavu mkubwa wewe.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Msamehe bure hajui aliandikalo
 
Hatari saana mama weeee....heri niwe mwema tu

Wengi wetu wamefanyiwa mazishi wangali hai. Wapo hai lakini kiroho wamezikwa na wanateseka sana. Unapozikwa hai kishirikina unapoozwa na kufifishwa nyota yako. Unapozikwa hai kishikirina kinga zako za kiroho zinapungua nguvu hivyo hakuna rangi utaacha kuona.

Vitu vyenye vinasaba nawe ni muhimu sana kuvitunza na kuvilinda.. Vitu kama nguo hasa za ndani, kuchwa zako, nywele zako zozote, damu yako, picha yako nk. Imethibitika hata kwenye sayansi ya macho kuwa chochote unachogusa unaacha alama yako hapo, alama za vidole ama kinasaba chochote.. Watu waliosoma forensic wanalijua hili vema.

Hivyo basi hata kwenye ushirikina huwa wanatumia kitu chenye kinasaba nawe kukutengeneza. Sasa basi katika vyote hivyo picha ndio huwa rahisi kupatikana kwakuwa ni ngumu kumtaimu mtu mpaka umkate kucha yake au umnyoe nywele zake, ama umtaimu saluni akinyoa au kusuka. Lakini picha tu..unaeza ipata hata mtandaoni

Picha kiroho imebeba maisha yako. Kuna connection kubwa sana kati yako na picha yako kiroho. Kumbuka ile mada ya Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa roho. Maranyingi tunapiga picha na watu wetu wa karibu au wa mbali tunaowajua na tusiowajua, na baada ya picha tunadhani tumemaliza. Kwenye kila picha upigayo kuna alama muhimu unaacha

Ukiwa mbabe picha yako inaweza kutumika kukumaliza. Chukulia tu mfano wa kidunia fanya tukio baya kwenye jamii, kazini kwako nk. Picha yako ndio itatumika kukutafuta na ndio itasaidia kupatikana kwako na kupelekwa kwenye sheria

Sasa unawezaje kuzikwa ukiwa hai? Nikipata picha yako, maji ya mochwari, jeneza dogo, sanda nk. Naweza kukufanyia mazishi kamili kisha nikakuzika na kuanua tanga siku ya tatu. Nikiamua kukumaliza kabisa siku ya 40 (siku ya kukatika kichwa) ninafanya kafara la kuchinja mnyama

Ishi tu vizuri na watu, tenda yaliyo mema. Usiwaumize wengine kwakuwa tu hawana ulichonacho wewe, usiringe, usikashifu wengine, jali hisia za wengine, ziheshimu. Ukijifanya mjuaji sana utazikwa ungali hai halafu utaona yajayo yanavyofurahisha. Ukijitahidi kuishi maisha ya ukamilifu hata tufani na mapigo ya kishirikina yatakupitia mbali kwakuwa utakuwa na kinga imara za kiroho.

NB: Usijaribu kufanya hii michezo kama na wewe una mapungufu yako! Hapo kuna mawili kufeli ama yakurudi!
 
Back
Top Bottom