Mazishi ya mtu hai kishirikina

Mazishi ya mtu hai kishirikina

HAPA UNANIKUMBUSHA RAFIKI YANGU KIPENZI ALIJITOA SANA KWANGU, KUNA WAKATI ALISEMA TUNGEFAHAMINA MAPEMA UNGEKUWA MBALI SANA. Kuna wakati alikuwa anasema unajua Coulibally nakusaidia kwa sababu najua ipo siku utakuwa bosi sehemu fulani, kauli hii ilikuwa wiki moja kabla ya kifo chake.. Alifariki tarehe 1 January mwaka 2020. NIlilia mpaka macho kuvimba, wengine walizimia. Alifariki akiwa na miaka 32 tu. AMA KWA HAKIKA BINADAMU SIO WEMA, WACHAWI WANAISHI... DESEMBA 2019 ALIGONGWA PAKA WAKE NA PIKIPIKI MBELE YA DUKA LAKE, MZEE MMOJA ALIMWAMBIA WEWE HAUTAIONA 2020 AKADHARAU IKAWA KWELI. TAREHE 1 JANUARY 2020 AKAHAMISHIWA MOCHWARI. ALIKUFA AKIWA NA AHADI YAKE YA KUNIKUTANISHA NA TAJIRI MMOJA JIJINI MWANZA...WIKI MOJA BAADAYE ALINITAJIA JINA LA MTU WA KARIBU KATIKA NDOTO AMBAYE ALIKUWA RAFIKI YAKE WAMESHIBANA SANA, Alisema "Nimekuachia .............." Nilishtuka sana. Nilipoanza kumfuatili huyu fulani nilikutana na nzito nzito, anatisha.
WIKI MOJA BAADAYE ALINITAJIA JINA LA MTU WA KARIBU KATIKA NDOTO AMBAYE ALIKUWA RAFIKI YAKE WAMESHIBANA SANA, Alisema "Nimekuachia .............." Nilishtuka sana. Nilipoanza kumfuatili huyu fulani nilikutana na nzito nzito, anatisha.[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]
 
Usemacho ni kweli, mimi ni mfano ambao niliwahi kuzikwa kishirikina, lakini Yesu akanitoa kwenye hilo kaburi au gereza.

Masikitiko yangu ni kwamba mtoa mada hujaelezea jinsi ya kufufuka kutoka kwenye hilo kaburi, na dalili zipi utazijua kama wewe binafsi umeshazikwa.
Kuna ndugu anataka aje amnyoe mtoto mchanga nywele mkuu @mshanar WEKA nyama hapa...
 
Wengi wetu wamefanyiwa mazishi wangali hai. Wapo hai lakini kiroho wamezikwa na wanateseka sana. Unapozikwa hai kishirikina unapoozwa na kufifishwa nyota yako. Unapozikwa hai kishikirina kinga zako za kiroho zinapungua nguvu hivyo hakuna rangi utaacha kuona.

Vitu vyenye vinasaba nawe ni muhimu sana kuvitunza na kuvilinda.. Vitu kama nguo hasa za ndani, kuchwa zako, nywele zako zozote, damu yako, picha yako nk. Imethibitika hata kwenye sayansi ya macho kuwa chochote unachogusa unaacha alama yako hapo, alama za vidole ama kinasaba chochote.. Watu waliosoma forensic wanalijua hili vema.

Hivyo basi hata kwenye ushirikina huwa wanatumia kitu chenye kinasaba nawe kukutengeneza. Sasa basi katika vyote hivyo picha ndio huwa rahisi kupatikana kwakuwa ni ngumu kumtaimu mtu mpaka umkate kucha yake au umnyoe nywele zake, ama umtaimu saluni akinyoa au kusuka. Lakini picha tu..unaeza ipata hata mtandaoni

Picha kiroho imebeba maisha yako. Kuna connection kubwa sana kati yako na picha yako kiroho. Kumbuka ile mada ya Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa roho. Maranyingi tunapiga picha na watu wetu wa karibu au wa mbali tunaowajua na tusiowajua, na baada ya picha tunadhani tumemaliza. Kwenye kila picha upigayo kuna alama muhimu unaacha

Ukiwa mbabe picha yako inaweza kutumika kukumaliza. Chukulia tu mfano wa kidunia fanya tukio baya kwenye jamii, kazini kwako nk. Picha yako ndio itatumika kukutafuta na ndio itasaidia kupatikana kwako na kupelekwa kwenye sheria

Sasa unawezaje kuzikwa ukiwa hai? Nikipata picha yako, maji ya mochwari, jeneza dogo, sanda nk. Naweza kukufanyia mazishi kamili kisha nikakuzika na kuanua tanga siku ya tatu. Nikiamua kukumaliza kabisa siku ya 40 (siku ya kukatika kichwa) ninafanya kafara la kuchinja mnyama

Ishi tu vizuri na watu, tenda yaliyo mema. Usiwaumize wengine kwakuwa tu hawana ulichonacho wewe, usiringe, usikashifu wengine, jali hisia za wengine, ziheshimu. Ukijifanya mjuaji sana utazikwa ungali hai halafu utaona yajayo yanavyofurahisha. Ukijitahidi kuishi maisha ya ukamilifu hata tufani na mapigo ya kishirikina yatakupitia mbali kwakuwa utakuwa na kinga imara za kiroho.

NB: Usijaribu kufanya hii michezo kama na wewe una mapungufu yako! Hapo kuna mawili kufeli ama yakurudi!
Duh! Mbombo ngafu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shikamoo Mshana?!
Mimi niliota niko kijijini kwetu napita karibu na choo cha kilabuni!
Basi niliwakuta wana wanasaficha vyoo kwa maana ya kutoa kinyesi kwenye mashimo ya vyoo!. Sasa wakati napita karibu nikamwagiwa kinyesi mwilini kama bahati mbaya hivi!
Sasa naomba kujuwa maana ya hiyo ndoto kaka mkuu!
Kitu kingine nilikuta mjusi kafa kwenye mlango upande wa kushoto na kafa kichwa kakielekeza kulia na mkia pia kauelekeza kulia pia!
Lkn hivyo hivyo nikakuta mjusi kwenye kiatu kafa kwa style ile ile!... Baada ya kama wiki 3 nikaota mama yangu anaumwa sana na amekonda sana!
Baadae nikaona kama anaanza kunenepa mara ndoto ikakata!...Kisha ikapita kama saa moja hivi,nikapigiwa simu na mdogo wangu kuwa mama ni mgonjwa sana!
Baada ya wiki moja mama akafariki!
Hebu niambie hizo zilikuwa na maana hiyo?!!
Asante sana!
 
boss Mshana Jr katika moja na mbili nakukubal mkuu acha ss nikamaliz EX wang naend kumzika mchana kweupe 😁🤔
 
Vitu vyenye vinasaba nawe ni muhimu sana kuvitunza na kuvilinda.. Vitu kama nguo hasa za ndani, kuchwa zako, nywele zako zozote, damu yako, picha yako nk. Imethibitika hata kwenye sayansi ya macho kuwa chochote unachogusa unaacha alama yako hapo, alama za vidole ama kinasaba chochote.. Watu waliosoma forensic wanalijua hili vema. By Mshana Jr
 
[emoji1752][emoji1545]
 
Unafundisha upumbavu kabisaaaaa yapo mambo ya msingi yakuzungumza watu wakabalika
Asili ya binaadamu akiamua kukuchukia hata umteendee Jema kias gani hataitaji Amani wala wemaa wowote kwako
Watu wangapi wameumizwa licha ya wema wanaowatendea binaadamu wenzao na kulipwa mabaya
Then unasema ishi vzur na watu kwamba nikinga ya watu wasifanye ubaya
Then unafundisha watu ubaya arafu wewe mwenyewe tena unawaambia tusifanye
Ukitaka kufanya fanya iv sijui iviii
UPUMBAVU KABISA.
 
Usemacho ni kweli, mimi ni mfano ambao niliwahi kuzikwa kishirikina, lakini Yesu akanitoa kwenye hilo kaburi au gereza.

Masikitiko yangu ni kwamba mtoa mada hujaelezea jinsi ya kufufuka kutoka kwenye hilo kaburi, na dalili zipi utazijua kama wewe binafsi umeshazikwa.
Doooh! Yesu yuko na mambo mengi kweli
 
Shikamoo Mshana?!
Mimi niliota niko kijijini kwetu napita karibu na choo cha kilabuni!
Basi niliwakuta wana wanasaficha vyoo kwa maana ya kutoa kinyesi kwenye mashimo ya vyoo!. Sasa wakati napita karibu nikamwagiwa kinyesi mwilini kama bahati mbaya hivi!
Sasa naomba kujuwa maana ya hiyo ndoto kaka mkuu!
Kitu kingine nilikuta mjusi kafa kwenye mlango upande wa kushoto na kafa kichwa kakielekeza kulia na mkia pia kauelekeza kulia pia!
Lkn hivyo hivyo nikakuta mjusi kwenye kiatu kafa kwa style ile ile!... Baada ya kama wiki 3 nikaota mama yangu anaumwa sana na amekonda sana!
Baadae nikaona kama anaanza kunenepa mara ndoto ikakata!...Kisha ikapita kama saa moja hivi,nikapigiwa simu na mdogo wangu kuwa mama ni mgonjwa sana!
Baada ya wiki moja mama akafariki!
Hebu niambie hizo zilikuwa na maana hiyo?!!
Asante sana!
Kila kitu kilitokea kama ilivyokuwa .. Kifo cha mama ndio kimehitimisha.. Hilo roho lililokuwa likusumbue haliwezi tena kufanya hivyo..
 
Back
Top Bottom