Mazishi ya mtu hai kishirikina

WIKI MOJA BAADAYE ALINITAJIA JINA LA MTU WA KARIBU KATIKA NDOTO AMBAYE ALIKUWA RAFIKI YAKE WAMESHIBANA SANA, Alisema "Nimekuachia .............." Nilishtuka sana. Nilipoanza kumfuatili huyu fulani nilikutana na nzito nzito, anatisha.[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]
 
Kuna ndugu anataka aje amnyoe mtoto mchanga nywele mkuu @mshanar WEKA nyama hapa...
 
Duh! Mbombo ngafu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Shikamoo Mshana?!
Mimi niliota niko kijijini kwetu napita karibu na choo cha kilabuni!
Basi niliwakuta wana wanasaficha vyoo kwa maana ya kutoa kinyesi kwenye mashimo ya vyoo!. Sasa wakati napita karibu nikamwagiwa kinyesi mwilini kama bahati mbaya hivi!
Sasa naomba kujuwa maana ya hiyo ndoto kaka mkuu!
Kitu kingine nilikuta mjusi kafa kwenye mlango upande wa kushoto na kafa kichwa kakielekeza kulia na mkia pia kauelekeza kulia pia!
Lkn hivyo hivyo nikakuta mjusi kwenye kiatu kafa kwa style ile ile!... Baada ya kama wiki 3 nikaota mama yangu anaumwa sana na amekonda sana!
Baadae nikaona kama anaanza kunenepa mara ndoto ikakata!...Kisha ikapita kama saa moja hivi,nikapigiwa simu na mdogo wangu kuwa mama ni mgonjwa sana!
Baada ya wiki moja mama akafariki!
Hebu niambie hizo zilikuwa na maana hiyo?!!
Asante sana!
 
boss Mshana Jr katika moja na mbili nakukubal mkuu acha ss nikamaliz EX wang naend kumzika mchana kweupe 😁🤔
 
Vitu vyenye vinasaba nawe ni muhimu sana kuvitunza na kuvilinda.. Vitu kama nguo hasa za ndani, kuchwa zako, nywele zako zozote, damu yako, picha yako nk. Imethibitika hata kwenye sayansi ya macho kuwa chochote unachogusa unaacha alama yako hapo, alama za vidole ama kinasaba chochote.. Watu waliosoma forensic wanalijua hili vema. By Mshana Jr
 
[emoji1752][emoji1545]
 
Unafundisha upumbavu kabisaaaaa yapo mambo ya msingi yakuzungumza watu wakabalika
Asili ya binaadamu akiamua kukuchukia hata umteendee Jema kias gani hataitaji Amani wala wemaa wowote kwako
Watu wangapi wameumizwa licha ya wema wanaowatendea binaadamu wenzao na kulipwa mabaya
Then unasema ishi vzur na watu kwamba nikinga ya watu wasifanye ubaya
Then unafundisha watu ubaya arafu wewe mwenyewe tena unawaambia tusifanye
Ukitaka kufanya fanya iv sijui iviii
UPUMBAVU KABISA.
 
Doooh! Yesu yuko na mambo mengi kweli
 
Kila kitu kilitokea kama ilivyokuwa .. Kifo cha mama ndio kimehitimisha.. Hilo roho lililokuwa likusumbue haliwezi tena kufanya hivyo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…