Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Mkuu ukihisi umezikwa je unawezaje kujinasua kutoka kaburini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kina mwamposa walisha kudanganya sahiv unawapelekea sadakaUsemacho ni kweli, mimi ni mfano ambao niliwahi kuzikwa kishirikina, lakini Yesu akanitoa kwenye hilo kaburi au gereza.
Masikitiko yangu ni kwamba mtoa mada hujaelezea jinsi ya kufufuka kutoka kwenye hilo kaburi, na dalili zipi utazijua kama wewe binafsi umeshazikwa
Ukiendeleza tabia hii ya kudhihaki watu, hutajua vitu vingi kwenye hii dunia.Kina mwamposa walisha kudanganya sahiv unawapelekea sadaka
upo sahihi bt mara nyingi ninyi wachawi huwaroga watu bila sababu.Bado haipaswi kuupuuza si kila auguaye maralia huponywa na mseto
Yes...na wema siku zote ndo huumizwa.acha tu mkuu, kua mwema ni fahari kubwa sana kijamii bt watu hawa wanapitia mitihani migum sana ajili ya wema wao.
upo sahihi bt mara nyingi ninyi wachawi huwaroga watu bila sababu.
unaeza rogwa kisa tu unavaa vizuri kuliko wao, unaeza rogwa kisa tu unaishi vyema na mkeo, unaeza rogwa kisa tu unatekeleza vizuri majukum kazini, wachawi ni watu wa hovyo sana na hawahitaji uwakosee ndo wakuroge.
Pole sana chief,uliweza kujinasua lakini?Mku Mshana ni namna gani watu watajinasua ktk haya.
Mimi niliwahi kutuma picha home nikiwa nje ya Nchi na zile ziliombwa na ndugu wa ukoo na zile picha hazikurudi wa hazijawahi kunekana.
Na baada ya kurudi hapa nyumbani Tanzania na sikurudi kwa kutaka mimi ila nilipata shida kubwa.
Kwa ujumla nimekutana mengi sana Mtani ambayo ni magumu sana
Ndo nazidi kuutafuta uso wa Mungu aniokoe kutokana hayo.Pole sana chief,uliweza kujinasua lakini?
HatariMshana JR, nafikiri siku tukipata muda tuanze na somo la kwanza la kuchukua nafsi ya mtu kwa kutumia kivuli chake!!
Pole sanaNdo nazidi kuutafuta uso wa Mungu aniokoe kutokana hayo.
Kwani mpaka sasa mitihani ni mingi sana .
Asante MkuPole sana
😳😳Vp mkuu Mshana Jr hili zoezi hatuwezi tukakazika kale kapimbi kanajiita ndugai pale mjengoni?
Vinahitajika Nini na nini nikavilete chap tukasafirishe kakaungane na shujaa mwenzake jehanamu?