Mazishi ya mtu hai kishirikina

Mazishi ya mtu hai kishirikina

Usemacho ni kweli, mimi ni mfano ambao niliwahi kuzikwa kishirikina, lakini Yesu akanitoa kwenye hilo kaburi au gereza.
Masikitiko yangu ni kwamba mtoa mada hujaelezea jinsi ya kufufuka kutoka kwenye hilo kaburi, na dalili zipi utazijua kama wewe binafsi umeshazikwa
Kina mwamposa walisha kudanganya sahiv unawapelekea sadaka
 
Bado haipaswi kuupuuza si kila auguaye maralia huponywa na mseto
upo sahihi bt mara nyingi ninyi wachawi huwaroga watu bila sababu.

unaeza rogwa kisa tu unavaa vizuri kuliko wao, unaeza rogwa kisa tu unaishi vyema na mkeo, unaeza rogwa kisa tu unatekeleza vizuri majukum kazini, wachawi ni watu wa hovyo sana na hawahitaji uwakosee ndo wakuroge.
 
Mku Mshana ni namna gani watu watajinasua ktk haya.
Mimi niliwahi kutuma picha home nikiwa nje ya Nchi na zile ziliombwa na ndugu wa ukoo na zile picha hazikurudi wa hazijawahi kunekana.
Na baada ya kurudi hapa nyumbani Tanzania na sikurudi kwa kutaka mimi ila nilipata shida kubwa.
Kwa ujumla nimekutana mengi sana Mtani ambayo ni magumu sana
 
Pole sana chief,uliweza kujinasua lakini?
 
Mshana JR, nafikiri siku tukipata muda tuanze na somo la kwanza la kuchukua nafsi ya mtu kwa kutumia kivuli chake!!
 
Back
Top Bottom